Ripoti ya ESCROW yawasha moto


Usinchoshe mie weye! Toka mmemezeshwa huo ----- majibu mengi mshapewa lakini mmetia pamba masiko yenu hata mkieleweshwa hamuwezi kuelewa, sasa kwanini nirudie. Soma humu kwenye vinyuzi mnavyofatua kila sekunde utapata majibu.
Nawewe kama pesa ni za umma kwanini Mkurugenzi wa IPTL Bahruden Majida husishwe kwenye utiaji saini wa mkataba wa escrow??
Mwakani kuna tetesi kuwa Donors wanajiandaa kusitisha misaada ya kibajeti mpaka tuwape kijana mmoja awape mgongo! Kwenye hili sina wasiwasi maana najua mkuu utajitolea ili kuokoa jahazi.
 
Mwizi mmojawapo wa fedha za escrow ndiye aliyeagiza TAKUKURU na CAG kumchunguza.
Hiki ni kichekesho haswaa.
 
Niwazi hii ripoti hata ikitoka hamuwezi kuikubali bora isitoke tu. Kwa uchunguzi mdogo tu nilioufanya nimepata jawabu kuwa hamuwezi kuikubali ripoti itakapo toka sababu akili zenu za kitumbiri zishajipangia matokeo inayoyataka.
 
Mbona hatujaona wapi umekuwa moto hawa wandishi njaa nao wanakazi na shida zao.
 
Mwizi mmojawapo wa fedha za escrow ndiye aliyeagiza TAKUKURU na CAG kumchunguza.
Hiki ni kichekesho haswaa.
Wengine kama mbatia na mbowe nao walipewa pesa hizo sijui za kazi gani,lakini kilichopo ni kwamba ishuo ya escrow ilimalizwa na mahakama ambaye hakulizika aende mahakamani.
 
Mpaka sasa nafuatilia bunge hakuna moto uliowaka sijui unazungumzia bunge gani mkuu au kunabunge la ukawa?
 
Viuzi vingine vinatia mpaka kich&#fuchefu. Moto unawaka wapi sasa? Punguzeni ushabiki.
 
Siku za usalama na kuaminiana zinahesabika,naona ccm wameamua kuiweka nchi rehani.
 
ila kweli mkuu maana siku hizi vimeibuka viuzi vingving kuhusu escrow maana vingine ata havina mwelekeo
 

Jaribu kuuvaa U-Tanzania na kuacha masihara? Unajua vifo vinavyotokea sasa vina uhusuano wa moja kwa moja na kukosekana dawa baada ya wafadhili kusitisha misaada yao (basket fund)?
 

Hakuna wataalam tena nchi hii, usitudanganye. Wote wamejaa mahaba ya CCM na wanacheza mziki unaopigwa na watawala, period!
 
.
Hili jengo la bunge kwa hapa tulikofikia linapaswa kufanyiwa kile cha nchi wananchi wake walilichoma moto na rais wao na wabunge kufukuzwa na jeshi.
Hichi kiswahili kirefu tunachosomeshwa na kina Lukuvi kitasababisha taifa lisiwe na kizazi kijacho maana haya majambazi ya ccm yanaiba kana kwamba yameahidiwa na Mungu kuwa zama zao ndio mwisgo wa dunia na kwamba huko kuzimu waendako wataendelea kutumia fedha.
Laiti Muumba mbingu na nchi angesikia kilio cha wanyonge wa Tanzania wanaokufa/uawa kila siku kwa kukosa huduma stahiki zao zilizoporwa na hawa mafisadi na kuwalupizia kisasi.
Eee Mungu uliyemwanganiza farao na jeshi lake, utuinulie mtu katikati yetu atakaetulipia kisasi. Ni kwa uwezo wako Mungu yote yanawezekana!!
.
 
watu jamii yenu mnaudhi sana. sasa tueleze kama ni za escrow mbona hamtaki kuileta bungeni ijadiliwe? si kitu rahisi tu? maana hizo hela zisizo na jasho ndo zinagawanywa ovyoovyo. akina anna tiba walipata mgao wa bil1.7. bado juzi tumeona mkizigawa makanisani. mnaudhi sana kwa kifupi.
 
Hivi Lukuvi hajui kuwa kazi ya Mbunge ni kupingana na serikali pale anapoona kuna haja ya kufanya hivyo?
mkuu hujui kama Lukuvi hakuna anachojua hata yeyemwenyewe hajitambui?
 
Jaribu kuuvaa U-Tanzania na kuacha masihara? Unajua vifo vinavyotokea sasa vina uhusuano wa moja kwa moja na kukosekana dawa baada ya wafadhili kusitisha misaada yao (basket fund)?

wewe ndio unaleta masihara. Tunakubali vipi watu wafe kwa kukosa dawa wakati nchi imejaa madini ya kila aina, inaardhi yenye rutuba, inamito, maziwa na bahari ina mifugo imejaa mpaka tunakosa ardhi ya kuchungia tunabaki kuuana kwa kugombea machungio, tuna watu milioni 48 tunataka nini kingine wacha tufe kwa kukosa dawa si ndio tulipofikia hapo!
 
Hamna haja ya kuwa na presha hili suala tayari lipo mezani waliohusika wote watawajibishwa kwa mujibu wa sheria.
 

Acha wivu wewe, mwenzako kahongwa wewe unatoka macho. Unataka uretewe ripoti wakati haijakamilika, si ujinga huu. Yaani wewe unawivu tu huna kingine chochote kinachokusumbua, achia mzigo nawewe upate mgao wako.
 

Tupelekea lorry la majani ya mwarobaini Muhimbili baada ya wachangiaji wa basket fund kukaa pembeni? au tupeleke supu ya kima kwa wale wenye maumivu ya vioungo?
 
Acha wivu wewe, mwenzako kahongwa wewe unatoka macho. Unataka uretewe ripoti wakati haijakamilika, si ujinga huu. Yaani wewe unawivu tu huna kingine chochote kinachokusumbua, achia mzigo nawewe upate mgao wako.
mzigo gani wewe mngese? watu tunaongelea mambo ya maana wewe unalete ushoga hapa? ma.....o wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…