macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,226
- 60,296
Tunaomba utuwekee link (kama ipo) ya hilo andiko au utuambie limesema nini.Ilikuwa ikabidhiwe, Ijumaa Kuu, andiko la manyerere Jacton likatibua mambo, hivyo waka pose!, leo itatolewa taarifa, ripoti itasomwa Jumatano tarehe 8 April, 2026, endelea kusubiria!.
P
ndo wanaoongoza nchi kwa sasa, hata kwenye vita lazima umfatilie adui anachofanya na kusemaKumbe kuna watu bado mnasubiri hao matapeli?
Tunaomba utuwekee link (kama ipo) ya hilo andiko au utuambie limesema nini.
rafiki hawa hawajali sheria. Katiba ni kijitabu!Imeshapitisha muda wa kisheria haina maana tena!
waandaaji walipanga kitu gani hapo, maana ilikua inaonekana ni wazi ripoti itatoka baada ya mifungo na sikukuu zote kuisha, au ni kutoa ripoti na watu waingie sikukuuP
- Mambo yalianza Jumanne March 31, gazeti la serikali za Habari Leo, online, kuripoti ripoti itakabidhiwa Ijumaa tarehe 3 Aprili.
- Jumatano Tarehe mosi Aprili, mwandishi wa habari Manyerere Jacton akawabalaza kupanga kutoa ripoti hiyo siku muhimu kwa Wakristu, siku ya Ijumaa Kuu Ripoti ya Jaji Chande: Mwanzo wa mwanga wa siasa mpya au mwendelezo wa giza la sintofahamu?
- Jambo TV wakaisoma hiyo makala on Jambo TV.
- Serikali ikaahirisha kupokea ripoti Ijumaa Kuu, Habari Leo wakaifuta ile posti yao.
- Alhamisi Jambo TV wakafungiwa kwa kuripoti makala hiyo.
Na hiyo tume ushishangae itakuwa imetumia mabilioni ya TZS!Msipoteze muda kusubiri ripoti ya mchongo ya tume ya Chade haitatoka maana wameshidwa kudanganya wakati ukweli upo wazi!
Sasa itakuwaje?. Tunasubir isomwe wazi Ili tuelekee kwenye mchakato wa kitabu cha kutuongoza kama nchi. Bila kusomwa tunatokaje tulipo? Wasione aibu ukitaka kupata mtoto lazima mvuliane nguo bana.
Hahahahaha haki nimecheka hadi mbavu zinauma watajwe kwa lipi?Ripoti inatoka Gwajima na Kitima wanaweza kutajwa kwenye ripoti
Sitegemei ripoti ya kweli toka kwenye hilo genge. Kama Samia ametangazwa kwa kura 31m za uongo na bado anakaza fuvu, unategemea tume aliyounda mwenyewe iwe na jipya?P
- Mambo yalianza Jumanne March 31, gazeti la serikali za Habari Leo, online, kuripoti ripoti itakabidhiwa Ijumaa tarehe 3 Aprili.
- Jumatano Tarehe mosi Aprili, mwandishi wa habari Manyerere Jacton akawabalaza kupanga kutoa ripoti hiyo siku muhimu kwa Wakristu, siku ya Ijumaa Kuu Ripoti ya Jaji Chande: Mwanzo wa mwanga wa siasa mpya au mwendelezo wa giza la sintofahamu?
- Jambo TV wakaisoma hiyo makala on Jambo TV.
- Serikali ikaahirisha kupokea ripoti Ijumaa Kuu, Habari Leo wakaifuta ile posti yao.
- Alhamisi Jambo TV wakafungiwa kwa kuripoti makala hiyo.
Ewaaaukitaka kupata mtoto lazima mvuliane nguo bana
Hiyo Sasa itakuwa ni aibu ya Karne jambo zito kama lile utangaze kuunda tume mubashara kwa umma alafu matokeo ya uchunguzi uyapokelee chumbani?. Hii ni maajabu.Inaweza kukabidhiwa kimya kimya.
Hiyo Sasa itakuwa ni aibu ya Karne jambo zito kama lile utangaze kuunda tume mubashara kwa umma alafu matokeo ya uchunguzi uyapokelee chumbani?. Hii ni maajabu.