Columbus
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 2,002
- 648
Kama sikosei leo asubuhi nimemsikia Zitto (MB) akielezea taarifa ya wizi wa fedha zinazotolewa na wizara ya fedha kwa ajili ya kuagizia mafuta ya petroli. MB Zitto amesisitiza kuwa hizo fedha sio kana kwamba zimeenda kwenye miradi mingine ya serikali bali zimeingia mifukoni mwa watu wanaofahamika.
Swali langu "Rais Jakaya Mrisho Kiwete huwa anapata taarifa hizi za CAG? na kama anazipata anangoja nini kuchukua hatua dhidi ya wabadhifu hawa kufuatia mamlaka tuliyompatia?"kiukweli sipati picha.
Katika tamko la hizi majuzi kuwa utendaji kazi wa kiongozi kama waziri utatathminiwa na kamati kuu ya chama CCM, kama ni kweli basi CCM ianze na hili ili tujenge imani upya.