kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,009
- 6,670
Utetezi wa kipumbavu...kwanini hamkumshtaki huyo aliyetumia fedha za walipakodi kiufisadi? Mnapaswa kuomba radhi na kumtaka aliyekwapua fedha hizo arudishe sio kujitetea kijinga!!RIPOTI YA CAG:
Ripoti ya CAG inahusisha Ukaguzi kwa miaka ya Fedha 2016/17; 2017/18 na 2018/19. Kipindi hiki ni kuanzia 01/07/ 2016 hadi 30/06/2019.
Ikumbukwe kwamba mwaka wa kwanza wa Kipindi hiki Cha miaka mitatu Chama kilikuwa mikononi mwa akina Julius Mtatiro, Mhe. Twaha Taslima, Ismail Jusa Ladu na Maalim Seif Sharif Hamad.
Hivyo Mapungufu yaliyojitokeza yanatokana na Ombwe la Uongozi na fedha zilizohamishwa ni sehemu za fedha zilizotumika kununulia magari kupitia kwa Joran Bashange enzi za Maalim Seif Sharif.
Daah, Kaf habari tunashukuru kwa ufafanuzi>>>.
Inasikitisha namna ruzuku zinavyotafunwa huko na wadau, inafikia mahali wanaamua kutumia kwa kufanyia anasa badala ya kusambaza elimu ya uraia. Ununuzi wa magari ni anasa tu. Halafu mnadai kuminywa kwa demokrasia kumbe ni kuminywa kwa mianya ya kupiga kama hivi.
We lipumbavu hebu acha ujuha mlitumika sasa mnatupwa kwa aibu mwenzako kukodi majumba honyo wewe kuingiza pesa za chama kwenye ac yako hii game ndio kwanza inaanza utaujua tu mshahara wa dhambi ni nini!!😃😃😃😃😃😃😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂RIPOTI YA CAG:
Ripoti ya CAG inahusisha Ukaguzi kwa miaka ya Fedha 2016/17; 2017/18 na 2018/19. Kipindi hiki ni kuanzia 01/07/ 2016 hadi 30/06/2019.
Ikumbukwe kwamba mwaka wa kwanza wa Kipindi hiki Cha miaka mitatu Chama kilikuwa mikononi mwa akina Julius Mtatiro, Mhe. Twaha Taslima, Ismail Jusa Ladu na Maalim Seif Sharif Hamad.
Hivyo Mapungufu yaliyojitokeza yanatokana na Ombwe la Uongozi na fedha zilizohamishwa ni sehemu za fedha zilizotumika kununulia magari kupitia kwa Joran Bashange enzi za Maalim Seif Sharif.
Wanafanya vizuri maana elimu ya uraia ilikatazwa wenye haki hiyo ni CCM tuDaah, Kaf habari tunashukuru kwa ufafanuzi>>>.
Inasikitisha namna ruzuku zinavyotafunwa huko na wadau, inafikia mahali wanaamua kutumia kwa kufanyia anasa badala ya kusambaza elimu ya uraia. Ununuzi wa magari ni anasa tu. Halafu mnadai kuminywa kwa demokrasia kumbe ni kuminywa kwa mianya ya kupiga kama hivi.
RIPOTI YA CAG:
Ripoti ya CAG inahusisha Ukaguzi kwa miaka ya Fedha 2016/17; 2017/18 na 2018/19. Kipindi hiki ni kuanzia 01/07/ 2016 hadi 30/06/2019.
Ikumbukwe kwamba mwaka wa kwanza wa Kipindi hiki Cha miaka mitatu Chama kilikuwa mikononi mwa akina Julius Mtatiro, Mhe. Twaha Taslima, Ismail Jusa Ladu na Maalim Seif Sharif Hamad.
Hivyo Mapungufu yaliyojitokeza yanatokana na Ombwe la Uongozi na fedha zilizohamishwa ni sehemu za fedha zilizotumika kununulia magari kupitia kwa Joran Bashange enzi za Maalim Seif Sharif.
HAhaha hiVi mnatuonaje watz! Mnatuona sisi panzi?RIPOTI YA CAG:

Nani aaminiwe? Wewe au Lipumba?RIPOTI YA CAG:

Hela ya ruzuku si Profesa alizuia kwa msaada wa msajili wa vyama na kila siku Maalim alikuwa akilalamika hilo mpk wabunge wakajichanga kutengeneza ofisi magomeni
Leo unataka kuwasingizia!?