Ripoti mpya ya mauaji ya halaiki ya tembo Tanzania

Ripoti mpya ya mauaji ya halaiki ya tembo Tanzania

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,356
Ripoti mpya ya matokeo uchunguzi mpya inadai kuwepo kwa halaiki ya mauaji ya tembo Tanzania. Baadhi ya yaliyomo kwenye ripoti ni pamoja yafuatayo:
  1. Jumla ya tembo 4,000 wameuawa na majanguli ndani ya mwaka mmoja katika hifadhi ya taifa ya Ruaha na kufanya idadi kupungua kutoka tembo 8,500 mwaka 2014 hadi kufikia tembo 4,200 mwaka huu.
  2. Mapema ilidaiwa kuwa kuwa idadi ya tembo katika hifadhi ya taifa ya Ruaha imepungua kwa sababu tembo wamehama. Hata hivyo, katika ripoti hiyo wachunguzi hawaami kuwa tembo hapo wamehama. Japokuwa watafiti hakukuta mabaki ya tembo waliouawa na majangili, wana uhakika kuwa tembo hao wameuawa na majangili.
  3. Wanasema hali ni mbaya katika eneo linalozunguka hifadhi hiyo hasa kwenye game reserves na maeneo ya kuwindia. Wanadai kuwa mwaka 2013, kulikuwa na tembo, 20,000 lakini mwaka 2014 kulikuwa na tembo 8,200 tuu. Idadi ya tembo dume wenye umri zaidi ya miaka 40 wamepungua kwa asilimia 72 kwa sababu pembe zao huwa zinauzwa kwa bei ya juu zaidi.
  4. Serikali ya Tanzania ilipewa nakala ya ripoti ya uchunguzi huo tokea Januari mwaka huu lakini mpaka sasa bado haijaichapisha kwa kigezo kuwa inatafuta malezo zaidi. Wanamazingira wanadai kuwa serikali inaona aibu kuichapisha ripoti kutokana na yaliyoandikwa humo.
  5. Matokeo ya uchunguzi huo ni sehemu ya sensa ya tembo inayojulikana kama (Great Elephant Census). Ilikuwa project ya miaka mwili kukusanya takwimu za tembo barani Afrika. Huu ni ukusanyaji mkubwa wa takwimu kuwahi kufanywa tokea mwaka 1972.

=======

Exposed: Tanzania's elephant killing fields

Half the elephants in one of Africa's largest national parks - over 4,000 animals - have been killed by poachers in a single year, according to new research. Elephant numbers in Tanzania's Ruaha National Park have dropped from 8,500 in 2014 to just over 4,200 now. In the wider area, covering neighbouring game reserves and hunting blocks, the slaughter is even worse. There 8,200 elephants remain, down from over 20,000 a year ago, researchers say.

Their report, seen by ITV News (UK), says there has been an "alarming decrease" with numbers "significantly lower" than shown in the previous survey last year. The proportion of bull elephants older than 40, prized by poachers for their enormous tusks, had reduced by 72%, they say. Although the researchers found fewer carcasses than expected given such a dramatic fall in numbers they have rejected migration as an explanation and concluded there is "compelling evidence that a major mortality has taken place."

The Tanzanian government received the report in January this year but has so far failed to publish it, citing the need for "secondary validation." Conservationists say embarrassment is a more likely reason - wildlife tourism accounts for 16% of Tanzania's economy yet in some areas poaching is out of control. The findings are part of the Great Elephant Census, an ambitious two-year project to conduct an aerial survey of elephant numbers and distribution across Africa. Funded by Microsoft founder Paul Allen it is the largest elephant count since the 1970's.

The figures confirm conservationists' worst fears but they run counter to recent statements from the organisation charged with protecting wildlife in the country's national parks. In August last year Tanzania National Parks (TANAPA) furiously denied allegations of an increase in poaching in Ruaha claiming wildlife protection there was in "good order."

In a press release entitled "Allegations on Increase of Poaching in Ruaha National Park" the authority announced court action against a local NGO, claiming their "serious allegations" of an increase in poaching were "threatening the security of our national parks." In the press release, still on their website, TANAPA continue: "Available statistics indicates a tremendous 56% decrease of poaching incidences as opposed to the allegations."

The massacre in Ruaha follows a similar event in the neighbouring Selous Game Reserve , where 67% of the elephant population were killed by poachers in four years. The latest research confirms the decline in elephant numbers there, with an estimated 12,000 now remaining from over 100,000 in the 1970's. While there is good news in the census about Tanzania's other major elephant populations, including the Serengeti where numbers are increasing, it is tempered by the fear that with the Selous and Ruaha all but emptied of elephants the poachers will soon move on.

Source: Exposed: Tanzania's elephant killing fields - ITV News

Ogah, JokaKuu, Jasusi, BAK, Power to the People, PainKiller, Ngongo, BelindaJacob, Henge, Watu8, Njaare, double R, Jp Omuga, Kafman, Obama wa Bongo, mshana jr, Manyerere Jackton, mwekundu, donbeny, Diva Beyonce, PISTO LERO, mmwamba, Mnasihi, Jodoki Kalimilo, Elli, lusungo, Mag3, Chakaza, KILLERS KISS GUY, mwinyi, mchumia tumbo, Dodido, Kashishi, Tume ya Katiba, Tetty
 
Hali inatisha Sana!!!

Tuna tatizo kubwa la nidhamu na adabu ktk usimamizi Wa rasilimali zetu kiasi cha kuzipa nafasi ya mwisho ki vipaumbdle....

Mabilioni yanayokuzanywa na TANAPA kupitia utalii huo Wa tembo hayatumiki kulinda tembo hao badala yake hutumika kulipana mishahara minono na posho za kutisha na ziara zisizokoma za viongozi na wajumbe Wa bodi.....

Ktk ufujaji huo serikali inatembeza bakuli la kuomba omba fedha na vifaa vya kupambana na ujangili wakati mapato yatokanayo na hao wanaouliwa yangetosha kuimarisha ulinzi bila kuzurura hovyo kwa viongozi wetu huko ng'ambo kuomba omba.....


Ukija siasani majangili wameota mizizi mpaka ngazi za juu kiasi cha kuziba mianya ya wao kudhibitiwa!!!

Hii nchi inahitaji watu serious watakao chukia uhuni na wahuni kwa dhati.....

Inatia uchungu na aibh Sana!!!!!
 
Awamu hii sijui inatuachaje!

Huenda hii ni moja ya sababu za kuleta ule mswaada wa takwimu!
 
Shocking news..! Lakini nani atamwajibisha nani,kwa vyovyote hii si habari ndogo wala ya kupuuzia hata kidogo lakini trust me hakuna atakayewajibishwa wala kuwajibika hata mmoja...! Hii ndio Tanzania tuliyo nayo kwasasa
 
Nepal imetunukiwa tuzo ya "elephant zero poaching" mwaka huu wala hawajafanya miujiza ni sheria kali na usimamizi wa sheria hizo. naomba nishauri tena serikali irekebishe sheria ya wanyamapori ili askari wetu wamalize shughuli huko huko porini. nasema hivi kwa sababu
1. kumkamata poacher ni ngumu sana na risk nyingi,
2. kesi zinachukua muda mrefu hivyo hukumu kutotoa fundisho kwa poachers wengine,
3. tatu uhalifu unaongezeka siku hadi siku
4. Arusha Manifesto ambayo inaelezea commitment ya serikali ya kwanza ya Tanganyika imetoa ahadi kubwa sana kwamba tutafanya kila linalowezekana kulinda wanyama wetu (hapa ni pamoja na kuua ingawa haikutajwa).

yule mtalii wa kinana sijui ameiona hiyo ripoti??
 
EMT Thanks for the mention...

Jamani enough is enough with all these poaching stories...!! Time for actions now..
We are in the year of general elections and political rallies to promote manifestos and candidates will start shortly....

I call upon the whole populace of Tanzania to read between the lines and stories in the manifestos and words of the contestants....If there is nothing natural resources related....if there is nothing wildlife related....if there is no policies and steps to halt poaching then such parties together with their contenders better be completely ignored!!!

What kind of a country is this...??? We are slaughtering albinos, we are poaching tembos and farus, we are killing our own people in road accidents... we are wasting time for our own school kids who at the end of their schooling come out with their heads completely free of education...!!!

I feel the passion to act...I wish everyone out there could feel the same like I do...

Hatari ni kuwa kuna wengine wameshatangaza wazi wazi na kwa kificho kuwa baada ya kustaafu wanataka POACHING ndo iwe miradi yao ya kuwaingizia kipato..
HAPANA HAPANA HAPANA....namaaisha HAPANA...HAIKUBALIKI!!

Jamani imetosha....kama tunadhani tupo vizuri si kweli...dunia nzima inatushangaa...!!
Inafika sehemu ukisema wewe ni mtanzania kila mtu anakuangalia mara mbili mbili utafikiri wewe si mtu wa kawaida...au kama vile "you sound and look like a gnu"
 
Waliopewa dhamana ya kulinda tembo ndio wanaoongoza mchakato wa kuua tembo na kulipwa na wapiga dili, wengi wao wachina.

Nilikutana siku moja kwa ajili ya lunch na mwanafunzi wa kozi ya mwaka mmoja chuo cha wanyamapori Pasiansi, Mwanza. Katika maelezo yake anadai kila Mwanachuo anaombea apangiwe hifadhi kama Ruaha na Selous, anasema huko ndani ya mwaka mmoja atakuwa AMETAJIRIKA kwa kuwa wanapiga sana dili. Anasema hata wanafunzi wenzao wanaotoka hizo na hifadhi na wale wa Ngorongoro Conservation ndio wenye mkwanja mzito hapo chuoni kwa kwa vile wa Ngorongoro wanalipwa sana na wa Selous na Ruaha wanapiga sana dili za uwindaji haramu

Nilishangaa sana juzi hapa Kikwete anasema akistaafu anataka kuwa MUHIFADHI WANYAMAPORI wakati utawala wake ndio umeongoza dunia kwa mauaji ya kutisha ya wanyamapori. Nikajua hapa labda anataka kulinda maslahi yake kwa vile anadaiwa ndio mmiliki wa Bilila Hotel ndani ya Serengeti. Twende mbele turudi nyuma, lazima reform ifanyike kuanzia wizarani hadi tanapa na kazi ya kulinda wanyama wapewe watu wapya na surveillance iwe ya kisasa GPS na radio transmitting devices na sio kusubiri wazungu watusaidie
 
EMT asante,hii report inabidi itafutwe iwekwe humu ndani kabla ya ile sheria yetu ya kuubana UKWELI.Maana haya ni maajabu wakati TANAPA ndiyo taasisi inayovuna pesa nyingi toka kwa donors.

Ni aibu kwa kweli.Na rais wetu yupo busy kwenye ndege kupeleka bakuli,hata harudi nyuma kuangalia kama zile alizopewa zinafanyiwa kazi vyema.
 
Kama twiga anasafirishwa kwa ndege kutoka mbugani na haonekani na wala haifahamiki mhusika ni nani, tutegemee nini?
 
EMT Thanks for the mention...

Jamani enough is enough with all these poaching stories...!! Time for actions now..
We are in the year of general elections and political rallies to promote manifestos and candidates will start shortly....

I call upon the whole populace of Tanzania to read between the lines and stories in the manifestos and words of the contestants....If there is nothing natural resources related....if there is nothing wildlife related....if there is no policies and steps to halt poaching then such parties together with their contenders better be completely ignored!!!

What kind of a country is this...??? We are slaughtering albinos, we are poaching tembos and farus, we are killing our own people in road accidents... we are wasting time for our own school kids who at the end of their schooling come out with their heads completely free of education...!!!

I feel the passion to act...I wish everyone out there could feel the same like I do...

Hatari ni kuwa kuna wengine wameshatangaza wazi wazi na kwa kificho kuwa baada ya kustaafu wanataka POACHING ndo iwe miradi yao ya kuwaingizia kipato..
HAPANA HAPANA HAPANA....namaaisha HAPANA...HAIKUBALIKI!!

Jamani imetosha....kama tunadhani tupo vizuri si kweli...dunia nzima inatushangaa...!!
Inafika sehemu ukisema wewe ni mtanzania kila mtu anakuangalia mara mbili mbili utafikiri wewe si mtu wa kawaida...au kama vile "you sound and look like a gnu"

Anataka kujikita kwenye wanyama pori,kama ulishindwa ukiwa rais yaani ukiwa TEMBO mwenyewe utaweza ukiwa SISIMIZI?Ambapo hata kwenye kile chama chako cha mafisadi wamekwambia huruhusiwi kuingia NEC ila unaweza kuwa MSHAURI tu............

Maskini RAIS wangu,akiwa kama TEMBO alishindwa kumzuia MBU kumaliza maliasili zetu,leo anaenda kuwa sisimizi anataka kupigana vita vya wanyama pori,nasikia harufu ya samaki walioharibika hapo...........:disapointed::disapointed::shocked::shocked::shocked:
 
Hali inatisha Sana!!!

Tuna tatizo kubwa la nidhamu na adabu ktk usimamizi Wa rasilimali zetu kiasi cha kuzipa nafasi ya mwisho ki vipaumbdle....

Mabilioni yanayokuzanywa na TANAPA kupitia utalii huo Wa tembo hayatumiki kulinda tembo hao badala yake hutumika kulipana mishahara minono na posho za kutisha na ziara zisizokoma za viongozi na wajumbe Wa bodi.....

Ktk ufujaji huo serikali inatembeza bakuli la kuomba omba fedha na vifaa vya kupambana na ujangili wakati mapato yatokanayo na hao wanaouliwa yangetosha kuimarisha ulinzi bila kuzurura hovyo kwa viongozi wetu huko ng'ambo kuomba omba.....


Ukija siasani majangili wameota mizizi mpaka ngazi za juu kiasi cha kuziba mianya ya wao kudhibitiwa!!!

Hii nchi inahitaji watu serious watakao chukia uhuni na wahuni kwa dhati.....

Inatia uchungu na aibh Sana!!!!!

Kaka unazisemea hizo za UTALII ambazo kuna possibility ya kuzipata au kuzikosa?Zipo zile za WAFADHILI ni nyingi mno,hazifai kusema,nipo huko wanakopewa nisije nikapigwa rungu la kufukuzwa kazi...........

Kaka ni aibu kubwa haina mfano..............
 
Awamu hii sijui inatuachaje!

Huenda hii ni moja ya sababu za kuleta ule mswaada wa takwimu!

Umeona eh.........Na kama kuna mtu anayohiyo report ndiyo muda muafaka kabla Prof wa Kichina hajasaini.
 
Shocking news..! Lakini nani atamwajibisha nani,kwa vyovyote hii si habari ndogo wala ya kupuuzia hata kidogo lakini trust me hakuna atakayewajibishwa wala kuwajibika hata mmoja...! Hii ndio Tanzania tuliyo nayo kwasasa

Tatizo lililopo ni kuwa wavunaji wa raslimali zetu wameshatujua kwamba sisi pamoja na viongozi wetu ni WAPUMBAVU.........Wala sioni kosa kusema hilo...........

Hao wanaoandika hizo report ndiyo hao kila siku wanataoa medali za heshima,udaktari wa heshima kwa viongozi ambao hawawezi hata kukemea uovu?Na watanzania Je?Tupo busy kulumbana kwenye ITIKADI zetu tukiwaacha wanavuna taratibu wanaenda zao.AKipeleka bakuli wanampa masharti madago tu,na wanapewa ruhusa ya kuchuma raslimali zetu.

Leo shilingi yetu imefika Tzs 2,000,kwa maana ukiwa na dola moja unauwezo wa kupata sukari kilo moja tu!Huwezi kupata Mboga kama huna dola mbili,na unga wa kushibisha familia je?

Ninasema wazi siku watanzania tukija kuwa wamoja basi RASLIMALI zetu hazipo zimeisha kabisa,na tutachekwa ile mbaya...........Wakati ndiyo huu tuchague viongozi watendaji,bora,wacha Mungu na wanomuogopa Mungu ili tulinde hifadhi na raslimali zetu.

Tuseme basi kwa wazungu na wachina,hakika hatuna sababu ya kutembeza bakuli tunauwezo mradi tu,tupate viongozi bora atakayekuwa na UTHUBUTU wa kusema enough is enough....................
 
Nepal imetunukiwa tuzo ya "elephant zero poaching" mwaka huu wala hawajafanya miujiza ni sheria kali na usimamizi wa sheria hizo. naomba nishauri tena serikali irekebishe sheria ya wanyamapori ili askari wetu wamalize shughuli huko huko porini. nasema hivi kwa sababu
1. kumkamata poacher ni ngumu sana na risk nyingi,
2. kesi zinachukua muda mrefu hivyo hukumu kutotoa fundisho kwa poachers wengine,
3. tatu uhalifu unaongezeka siku hadi siku
4. Arusha Manifesto ambayo inaelezea commitment ya serikali ya kwanza ya Tanganyika imetoa ahadi kubwa sana kwamba tutafanya kila linalowezekana kulinda wanyama wetu (hapa ni pamoja na kuua ingawa haikutajwa).

yule mtalii wa kinana sijui ameiona hiyo ripoti??

Kikubwa ni kuondoa RUSHWA iliyoota mizizi kwenye taasisi za serikali.Na nyingine kuoverhaul TANAPA na wizara ya UTALII ili kuweza kuweka watu wapya kabisa yaweza kusaidia.

Na ilitakiwa anayekutwa na meno ya tembo ANYONGWE pia,maana ameua na yeye auawe.
 
Hii serikali inachofanya ni sawa na kuweka rehani mkeo na watoto.......its shocking ,tutafilisika mpaka akili zetu
 
Tatizo lililopo ni kuwa wavunaji wa raslimali zetu wameshatujua kwamba sisi pamoja na viongozi wetu ni WAPUMBAVU.........Wala sioni kosa kusema hilo...........

Hao wanaoandika hizo report ndiyo hao kila siku wanataoa medali za heshima,udaktari wa heshima kwa viongozi ambao hawawezi hata kukemea uovu?Na watanzania Je?Tupo busy kulumbana kwenye ITIKADI zetu tukiwaacha wanavuna taratibu wanaenda zao.AKipeleka bakuli wanampa masharti madago tu,na wanapewa ruhusa ya kuchuma raslimali zetu.

Leo shilingi yetu imefika Tzs 2,000,kwa maana ukiwa na dola moja unauwezo wa kupata sukari kilo moja tu!Huwezi kupata Mboga kama huna dola mbili,na unga wa kushibisha familia je?

Ninasema wazi siku watanzania tukija kuwa wamoja basi RASLIMALI zetu hazipo zimeisha kabisa,na tutachekwa ile mbaya...........Wakati ndiyo huu tuchague viongozi watendaji,bora,wacha Mungu na wanomuogopa Mungu ili tulinde hifadhi na raslimali zetu.

Tuseme basi kwa wazungu na wachina,hakika hatuna sababu ya kutembeza bakuli tunauwezo mradi tu,tupate viongozi bora atakayekuwa na UTHUBUTU wa kusema enough is enough....................
Tetty post yako inaumiza roho...! Natamani mambo yawe tofauti sasa, tuwe na viongozi wazalendo wanaotanguliza maslahi ya taiga kwanza wasio waroho na wabinafsi

Natamani tuwe na wananchi wazalendo sasa wasiosaidia wageni kupora rasilimali zetu, wasiowabeba wageni kwa namna yeyote ile
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom