Ripoti maalum kwa wajasiriamali kuhusu utajiri

ngosh

Member
Dec 18, 2014
48
40
NAMNA YA KUPATA UTAJIRI BILA KUWA FREE MASON
Jee unataka kuwa tajiri kwa njia halali bila kuwa fisadi au Freemason? Unataka kupata pesa za uhakika siyo za kucheza michezo ya bahati nasibu? Pata ripoti maalum ya namna ya kuwa tajiri bila kuwa fisadi au freemason kwa gharama y ash. 5,000 tu kwa njia ya mtandao na wale watakaohitaji hard copy watalipia sh. 10,000.
Katika ripoti hii utapatiwa njia 4 za uhakika ambazo unaweza kuzitumia kupata pesa na kuwa tajiri. Pia baadhi ya njia hizi haziihitaji kuanza na mtaji mkubwa. Ili kupata ripoti hiyo piga simu namba 0755394701 au 0784394701
 
kwa nini wewe usitumie ripoti hiyo kupata hizo hela ili uache kuangaika kutafuta watu wanunue ili upate hela .bandiko lako lingekuwa na maana kama ungesema unatoa bure au unasaidia
 
usipowajua hawa umeliwa
Tatizo la watu wengi mnapenda kupata mafunzo bure natoa ofa kwa watu wote mnaotaka mafunzo haya bure mje kwenye mafunzo yangu ya ujasiriamali bila malipo na kama hutaridhika na ninachokifundisha hutalipa kitu chochote ila ukiridhika utalipa kiingilio ukija kwenye mafuzo yangu unaruhusiwa kuulizaq maswali yote kujiridhisha NB wiki iliyopita nilitoa ofa ya mafunzo bila malipo wiki hii natoza sh. 10,000 kwa siku zote;
MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KILIMO NA UFUGAJI WA KUKU KWA WATU WOTE
Kampuni ya CPM Business Consultants, itaendesha mafunzo ya ujasiriamali na kilimo biashara na ufugaji wa kuku kwa watu wote kwa kiingilio cha sh.10,000 kwa kilamshiriki kwa siku zote, pia vitabu vya ujasiriamali vitauzwa kwenye mafunzo. Mafunzo haya yataendeshwa katika ofisi yetu Kimara Baruti karibu na Bahama Mama, kuanzia siku ya Jumanne tarehe 19/1/2016 hadi juma mosi tarehe 23/1/2016.Kila siku mafunzo yataanza saa 4 asubuhi mpaka saa 7 mchana.

Muwezeshaji ni Charles Nazi Mshauri wa biashara na Mtunzi wa kitabu cha mbinu za biashara. Mada zitakazofundishwa ni kama ifuatavyo;
1. Namna ya kuanzisha na kuendesha biashara
2 Namna ya kufanya biashara kupitia mtandao wa internet.
3. Namna ya kuwekeza fedha zako hata kama una fedha kidogo
4. Namna ya kuendesha kilimo na ufugaji wa kuku kibiashara.

Kwa wale ambao watapenda kuhudhuria mafunzo hayo wapige simu au watume ujumbe kwenye simu namba 0784394701 kupata maelezo zaidi.
CHARLES NAZI
MSHAURI WA BIASHARA
 
Back
Top Bottom