Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,574
- 38,169
Hakuna swali hapa mkuu gadafi nani asojua kama kauawa ?!Ghadafi ameuwawa. Je, aliyemuua Ghadafi ni nani? Na nani atashitakiwa kwa mauaji ya Ghadafi?
Na zile ndege zilizokua zinampiga znajulikana za mataifa gan
Kwan haujulikani muungano wa nato unaongozwa nakina nani
Ghaddaf kauliwa na walomuua wanajulikana ila kwasababu ndio wameshikilia dunia basi wanaonekanika hawana kesi
Kwan ICC c mahakama ya kimataifa ila Trump kasema wanajeshi wake waliopo afghanistan na ppte pale ulimwnguni marfuku kushtakiwa kle
Us na nato washenzi sanaaa