Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,006
- 3,643
Nimepitia ripoti 2 za Tume iliyoundwa na Mh. Rais ktpata ukweli wa hali halisi kwenye sekta ya madini.
Ninampongeza kwa dhati kwa hatua hiyo. Wazo langu linakuja kutokana na namna maamuzi ya mabunge yaliyopita,na baadhi yao wapo bungeni yalivyojionyesha katika ripoti hizi.
Kama tunataka kujenga sekta imara ya madini na yenye tija,hatupaswi kumwachia tu Rais aamue.
Yeye amechokoza hoja,na ameileta mbele ya Watanzania,basi tumsaidie. Bunge ndio wananchi. Tena,kibaya zaidi,waliotajwa na Rais kutaka wachukuliwe hatua wapo Bungeni leo!
Basi tusikie kauli ya bunge linawabanaje kabla ya Serikali. Baada ya hapo,ndo tuanze kurekebisha sheria zetu na mambo mengine.
Naomba kutoa hoja.