RIP udini kwenye ajira za NSSF

RIP udini kwenye ajira za NSSF

Aseeh naona miamba na mijabari inaanguka sasa,.. Nothing last forever
 
Ni kweli na sahihi kwa kilichofanyika ....bado baadhi ya mifuko ya jamii kama LAPF pia na chuo cha usafirishaji pale ukabira umezidi...idara nyingi kuna Wahaya pale..

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Hatimaye aliekuwa Mkurugenzi Rasilimaliwatu na utawala NSSF Mwana mama Ustadhat Chiku Matessa Afukuzwa Kazi kwa Matumizi mabaya ya ofisi, kutofuata kanuni, sheria na Taratibu za ajira.

Ikumbukwe kwamba Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu Ubadhilifu(Hasa Udini) katika Michakato ya ajira za NSSF, hivyo basi kuchenjuliwa kwa mwanamama huyu Muhenga aliekuwa Dimba kisheti kwenye ajira za NSSF Itakua ni habari njema sana kwa NSSF wenyewe, Tanzania kwa ujumla, na vijana wenzetu wanaotafuta ajira.

Majina ya vigogo 12 wa NSSF waliofukuzwa kazi
Kumbe ndiyo hawa walikuwa wame-Islimisha NSSF!!!!! ndiyo maana kila ofisi ukiingia unapewa salamaleko!!!na Hijbu gubigubi mpaka wafagizi wa ofisini basi jibu limepatikana!!!
 
Hatimaye aliekuwa Mkurugenzi Rasilimaliwatu na utawala NSSF Mwana mama Ustadhat Chiku Matessa Afukuzwa Kazi kwa Matumizi mabaya ya ofisi, kutofuata kanuni, sheria na Taratibu za ajira.

Ikumbukwe kwamba Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu Ubadhilifu(Hasa Udini) katika Michakato ya ajira za NSSF, hivyo basi kuchenjuliwa kwa mwanamama huyu Muhenga aliekuwa Dimba kisheti kwenye ajira za NSSF Itakua ni habari njema sana kwa NSSF wenyewe, Tanzania kwa ujumla, na vijana wenzetu wanaotafuta ajira.

Majina ya vigogo 12 wa NSSF waliofukuzwa kazi

Kwann mnapenda kuendekeza mambo ya udini? Ninyi ndio mnapenda udini tena went uko waziwazi kwa kisingizio eti sisi hatujasoma lkn angalia vizuri majina ya waliotimuliwa ndio huongee hayo unayoyasema
 
Huyo aliyefukuzwa kazi ndio FAIZA FOX??

Sent from my SHV-E330L using JamiiForums mobile app
 
Akaanzishe Madrasa mtaani au nyumbani kwake sasa...
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hatimaye aliekuwa Mkurugenzi Rasilimaliwatu na utawala NSSF Mwana mama Ustadhat Chiku Matessa Afukuzwa Kazi kwa Matumizi mabaya ya ofisi, kutofuata kanuni, sheria na Taratibu za ajira.

Ikumbukwe kwamba Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu Ubadhilifu(Hasa Udini) katika Michakato ya ajira za NSSF, hivyo basi kuchenjuliwa kwa mwanamama huyu Muhenga aliekuwa Dimba kisheti kwenye ajira za NSSF Itakua ni habari njema sana kwa NSSF wenyewe, Tanzania kwa ujumla, na vijana wenzetu wanaotafuta ajira.

Majina ya vigogo 12 wa NSSF waliofukuzwa kazi

Kwa hiyo leo maisha yako yatabadilika kuwa mazuri kwa vile amefukuzwa

Sent from my HUAWEI G730-U10 using JamiiForums mobile app
 
Atapata kazi nyingine nzuri kama ya

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Hatimaye aliekuwa Mkurugenzi Rasilimaliwatu na utawala NSSF Mwana mama Ustadhat Chiku Matessa Afukuzwa Kazi kwa Matumizi mabaya ya ofisi, kutofuata kanuni, sheria na Taratibu za ajira.

Ikumbukwe kwamba Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu Ubadhilifu(Hasa Udini) katika Michakato ya ajira za NSSF, hivyo basi kuchenjuliwa kwa mwanamama huyu Muhenga aliekuwa Dimba kisheti kwenye ajira za NSSF Itakua ni habari njema sana kwa NSSF wenyewe, Tanzania kwa ujumla, na vijana wenzetu wanaotafuta ajira.

Majina ya vigogo 12 wa NSSF waliofukuzwa kazi
mleta mada ni mtu wa story za vijiwen ebu angali majina ya wakurugenz hao uone din gan imejaa
NSSF wakristo wamejaa tele tuachen haya mambo ya kupotosha umma

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Nakubaliana na wewe by names, seven.are christians

Sent from my HUAWEI G730-U10 using JamiiForums mobile app
 
Vita ipo mbeleni na waanzishaji ni wajinga km huyu mtoa mada, hivi msisitizo wako una faida gani kwa jamii ilokuzuguka, unashabikia udini wakati hata kanisani huendi.

Sent from my GT-I9152P using JamiiForums mobile app
 
sasa kama ni udini mkuuu mbona km naona wakristo wako sita na waislami wako 6.we we unaprove VIP hilo unalolisema.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
yaani umejuaje kuwa wakristo wapo sita? na waislam wapo sita? , Mfano John Noel msabato anayeshinda baa, ana mke mmoja na michepuko 4 , kazi yake ni kuuza dawa za kulevya, huyu atakua ni mkristo?
AU Hassan Ally muuza kitimoto maarufu anayemiliki grocery ya pombe ana miaka 40 na watoto 4 kila mmoja na mama yake hajaoa hadi leo, huyu naye ni muislam?............ watanzania tufanyeni kazi kwa weredi na bidii angalau akaunti isome hata Bilioni moja, huu umbeya na kufikiri juu juu hautatusaidia chochote sisi na wajukuu zetu.

Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
waikrist waliofukuzwa n 8 na waislam 2 ... Tujenge nchi yetu kwa misingi ya upendo na Amani, kuzidi kuhamin huu upuuz n kuwakosea watoto wetu, wanajamii na nchi kwa ujumla.

Tanzania yetu wote hii.... Waikristu tupunguze chuki na tufanye yampendezea Mungu wetu.

Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
 
Naona sasa tunakamilisha ule usemi wa wahenga kuaa... yule jamaa aliekua mkurugenzi mkuu wa nssf alizinguaaaaa
 
Back
Top Bottom