Hatimaye aliekuwa Mkurugenzi Rasilimaliwatu na utawala NSSF Mwana mama Ustadhat Chiku Matessa Afukuzwa Kazi kwa Matumizi mabaya ya ofisi, kutofuata kanuni, sheria na Taratibu za ajira.
Ikumbukwe kwamba Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu Ubadhilifu(Hasa Udini) katika Michakato ya ajira za NSSF, hivyo basi kuchenjuliwa kwa mwanamama huyu Muhenga aliekuwa Dimba kisheti kwenye ajira za NSSF Itakua ni habari njema sana kwa NSSF wenyewe, Tanzania kwa ujumla, na vijana wenzetu wanaotafuta ajira.
Majina ya vigogo 12 wa NSSF waliofukuzwa kazi