Pia upo uzi mwingine hapa Jukwaani unaomhusu huyu Oliver Ngoma, japo sikumbuki title yake.
Kwamba nini siri ya mwanamuziki Oliver kutumia herufi chache sana (tatu, nne au tano tu) ktk title ya nyimbo zake nyingi.
Ebu angalia: NGE, SAL', BANE, ADIA, LUSA, FELY, LILI, ELIE, LINA, JULIE, ICOLE, BARRE, etc.