Bahati furaha
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 3,077
- 1,439
Angalia post #29.Ambapo mchoraji wa sasa ndio analeta mkanganyiko
Huyo ndio wa familia ya yule mama wa Ukonga sijui!?
Angalia post #29.Ambapo mchoraji wa sasa ndio analeta mkanganyiko
Mkuu nchi kama italia zina majengo ya miaka 2000 iliyopita,sisi miaka 50 hatujui nani kachora nembo ya taifa,aibu kubwa, uzembe usioelezeka na kutokujaliKuna kumbukumbu za zaidi ya miaka 150....sisi hatuna kumbukumbu ya miaka 50 ?? Tuna kitu hakiko sawa sisi waafrika!
Unapoipa siasa thamani kubwa na kuifanya ndio kila kitu katika uongozi matokeo yake ndio kama hayaMkuu nchi kama italia zina majengo ya miaka 2000 iliyopita,sisi miaka 50 hatujui nani kachora nembo ya taifa,aibu kubwa, uzembe usioelezeka na kutokujali