RIP Mzee F.M. Ngosha lakini....

RIP Mzee F.M. Ngosha lakini....

Aliomba kisamvu na ugali kwa magufuli kumbe ndoalikuwa anatuaga!Tutamkumbuka daima
 
1496233987932.png
Hii ndo nembo aliyobuni Ngosha mwaka 1957 baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar huyo Mume wa mjane akaiboresha tu ya ngosha
1496234085412.png
 
Kwa maana hiyo ni sahihi kumwita Mbunifu wa Nembo ya Taifa. Hata yule mjane katika mahojiano yale alikiri kwamba alimwona mume wake akichora kwa kuanfalizia katika nembo nyingine.
 
Kwa maana hiyo ni sahihi kumwita Mbunifu wa Nembo ya Taifa. Hata yule mjane katika mahojiano yale alikiri kwamba alimwona mume wake akichora kwa kuanfalizia katika nembo nyingine.
The coat of arms of Tanzania comprises a warrior’s shield which bears a golden portion on the upper part followed underneath by the Flag of Tanzania. It was designed by Mr. Jeremiah Wisdom Kabati, at Bwiru Mwanza in 1961.

Huyo sasa nae aliangalizia au ilikuwaje? Ni kizungumkuti kwa kweli
 
Mkuu Mshana Jr naomba pia uje na uzi wa maana ya nembo yetu. je kuna msg yoyote iliyofichwa kwenye nembo yetu au ni ile ile tunayofahamu siku zote.
 
Mkuu Mshana Jr naomba pia uje na uzi wa maana ya nembo yetu. je kuna msg yoyote iliyofichwa kwenye nembo yetu au ni ile ile tunayofahamu siku zote.
Nipe muda nilitafiti
 
Ni hoja nzuri pia.
Na apumzike kwa amani mzee Ngosha
Ila hajazikwa bado mwili upon mochwari ya Muhimbili ukisubiri ndugu zake
Sometimes serikali yetu sijui ina nini....maisha yake mengi huyu mzee aliishi na watu baki wakimsaidia kwa kila kitu leo ameondoka hawamziki wanasubiri ndugu...labda pengine wanafanya kisheria zaidi
 
Back
Top Bottom