Aisee! Dah! RIP mwanahabari wetu.
Ni John Ngyahoma au John Ngahyoma?
Naomba niende off topic kidg. Hv mtu akijawa na majipu alafu akawa anakohoa sana then anapungua kabisa yaweza kuwa kisukari? Manake swahiba wangu Ngahyoma nae mazingira haya alikuwa nayo!
jana halima leo ngayhoma si kesho atakuwa ni nani tuzidi kumuomba mungu atusamehe midhambi yetu..
RIP John Ngahyoma..
kesho ni kibonde. over
Halima yupi tena?