RIP Abdul Bonge wa Tiptop Connection

RIP Abdul Bonge wa Tiptop Connection

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,143
Meneja wa muda mrefu wa kundi la muziki wa kizazi kipya la Tiptop Connection,Abdul Taletale aka Abdul Bonge ameaga dunia. Abdul Taletale ambaye ni kaka wa Babu Tale atazikwa mkoani Morogoro.

Marehemu Abdul Bonge ameibua na kukuza vipaji kama vya Madee,Z-Anto na Tundaman. Poleni wafiwa wote na wadau wa muziki. Lala salama Abdul Bonge!
 
Ina maana huyu jamaa hakuna aliewahi kumjua wala kumsikia?🤔
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom