Ringa tena

oya bro eenh, ujue nna aleji na haya madude bhana! nshaanza ... dah!

ok, manka yuko karibu, ngoja nim-text for a weekend.. lol!

Hahahahaaaa achana na manka Ikumbuke siku ya Bwana kuitakasa
 
hahahaaa! kweli bhana! si unajua tena madennti! yetu tunafanya siku kama hizi bhana...

leo manka lazima alie kipare! lol...

Mtumeee kama Huyu ndo yeye sitii neno
Hongera kaka Hongera Manka
 
hahahaaa! manka yuko mkuu moshi, nategemea uwepo wake hapa mabibo in next few days! yuko free sana, si unajua tena wabebez wa kichaga, hakuna longo longo.. unapewa tu kiroho safiii!

Duu uko mabibo ipi kaka ? Mimi ni So Fun hapa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…