Rihanna " Work " Ft Drake Official Music Video!!

Rihanna " Work " Ft Drake Official Music Video!!

Kwa nyimbo inayohit saizi ya work by rihanna aliyomshirikisha drake, imeonekana kwamba drake hakuitendea haki nyimbo hio, flows zake zipo nje ya tune ya wimbo plus lyrics sio kali kivile, lyric iliyostick ni ile tu "if u had a twin i wuld still choose you" kwa mtazamo tu naona jamaa hajaitendea haki, Download work by rihana ft drake kwenye attachment

TOA MAONI YAKO
 

Attachments

napingana na wewe mi naona kila idara kafiti video ndo usiseme but ndo hivyo ninachokipenda mimi si lazima kipendwe na mwingine
 
Naungana na wewe, mi naona kama hajaongeza kitu, bora Rihanna angeimba pekeyake
 
Mm ni mtu wa karibu na Rihanna ngoja nimshtue aifanyie remix na j cole
 
Yaani kweli binadamu tunafanana,umeniwahi kiongozi kuanzisha thread yaani huo wimbo jamaa sio tu kakosea yaani kaharibu kinoma,mimi ni miongoni mwa mwa fans wa rihana mpaka insta nisha comment kuhusu hii kitu,yaani jamaa kama kalazimishwa au hakulipwa?
 
Riri ule wimbo angesimama mwenyewe tu au afadhari angempa shavu Fid Q
 
Back
Top Bottom