Rihanna na BF wake mpya usipime

Unaogopa nini G, mwaga sera hadharani, we mtoto wa kiume usione aibu, na ukishindwa tutakusaidia maneno mazuri ya kumconvice hapahapa :D
UNAONA SASA!...........
ndo uzuri wa kuwa na masisteri hapa jamvini!...ngoja nijikumbushe enzi zangu NATONGOZA ILIKUWAJE...!kuna tu-madesa najaribu kuperruzz hapa nikisha kremu tu nitaanza sera!

.........come back shortly eeh!....:D
 
wenzako mistari huwa iko tayari pale tukio linapotokea tu ...wewe G mpaka uanze kukumbuka ..
 
.........Hapa Rihanna kapata mwanaume , kifua chake tu ni cha mwanaume haswa!!
Duuh, leo nimeamini ninayoyasikia gym! Kuna watu wanapanua vifua kweli.Huwa wanataniana kuwa, kama wakishindwa kupata kazi yoyote ya kufanya basi watakuwa wanauza sura maana vifua vikubwa, na mkono wa kutosha vinauzika kirahisi kitaani
 
jamaa anatafuta password ya u-celebrity akiipata tu utasikilizia
Kile kitendo tu cha kuingia kwenye club wanazo-hangout watu kama hao wewe tayari ni celebrity, jamaa ni mcheza baseball alishajitengenezea jina lake siku nyingi tu. Wapenzi wa baseball wanamjua huyu bwana.
 
hahaha!
for you I WILL CHANGE MMAMII!hata kazi ukitaka nitaacha,hata jeiefu nitaachana nayo,JUST FOR YOU!.......trust me!YOU HAVE MY WORDS.

PLEASE,tukadumishe mila!...(hata sasa)...!:D

Tuanze na ban kwa yafuatayo:
  1. Chawote Bar
  2. Mawasiliano ya namna yeyote na cha wivu mwenzangu Lily Flower
  3. PM kwa akina dada
Orodha ni ndefu sijui kama utawahi deadline ya 13/02/2010

Annina
 
Tuanze na ban kwa yafuatayo:
  1. Chawote Bar
  2. Mawasiliano ya namna yeyote na cha wivu mwenzangu Lily Flower
  3. PM kwa akina dada
Orodha ni ndefu sijui kama utawahi deadline ya 13/02/2010

Annina
nitawahi tu mamii!
(ingawa masharti ni magumu)!unajua kitaalamu mimi ni meneja wa chawote bar!na hapa nipo ofisini kwangu
 
hehehe!
majadiliano yanaendelea!nadhani mkataba utasainiwa tu

Naona kweli mambo yako na LF siyo mabaya, karibu mkataba utaisiniwa....Nahisi mojawapo ya masharti ya mkataba ni kubadili signature yako isisomeke 13/02/2010
 
Naona kweli mambo yako na LF siyo mabaya, karibu mkataba utaisiniwa....Nahisi mojawapo ya masharti ya mkataba ni kubadili signature yako isisomeke 13/02/2010
HEHEHE!
hilo swala litakuwa gumu!bora nijipindue USWAZI AMBAKO WACHUCHU HATA KOMPYUTA HAWAJUI
 
Naona kweli mambo yako na LF siyo mabaya, karibu mkataba utaisiniwa....Nahisi mojawapo ya masharti ya mkataba ni kubadili signature yako isisomeke 13/02/2010
Masaki mambo ni bien tuko tuli na haka ka hali ya hewa teh teh teh.
 
dada ana kigimbi kizuri kama

shedrack nsajigwa wa yanga
 
Back
Top Bottom