She is cuteView attachment 389243View attachment 389244[emoji169] [emoji170] [emoji171] [emoji172] [emoji173]
Hata mimi namkubali SanaCaribbean miss lady...nampenda sana
Tabasamu lake tuView attachment 389270View attachment 389271[emoji169] [emoji170] [emoji171] [emoji172] [emoji173]
Acha kabisa. Mtoto mzuri huyuKama hili..View attachment 389274
HahaaaaaKabisa ona matiti yalivyo
Hiyo aliyovaa suruali ya kijeshi tuKwenye swagger sasa, ni shida tupu..View attachment 389283View attachment 389285
Madawa ya kulevyaNikimwangalia Rihana kipindi anaanza mziki na sasa hivi naona uzuri wake umepotea kabisa.
Ni janga kwa wasanii. .....Madawa ya kulevya
Akiwa simpo anapendeza zaidi.View attachment 389247[emoji169] [emoji170] [emoji171] [emoji172] [emoji173]
Alikuwa samaki mbichi anakunjikaa....lakini sahvi kawa kauzu zaidi ya dagaaa....hakunjiki tenaNikimwangalia Rihana kipindi anaanza mziki na sasa hivi naona uzuri wake umepotea kabisa.
Hahahaa anakunjika sema tu uzuri umefifia.Alikuwa samaki mbichi anakunjikaa....lakini sahvi kawa kauzu zaidi ya dagaaa....hakunjiki tena
Kajichora tatoo nyingi amekuwa Kama nyokaHahahaa anakunjika sema tu uzuri umefifia.
Kabisa ona matiti yalivyo
Tatoo si nzuri yani mtu anaonekana wa ajabu.....hata kwa mwanaume....tatoo dah binafsi sizipendi.Kajichora tatoo nyingi amekuwa Kama nyoka
Binafsi mwanamke tatoo haziwafai