Ridhiwani yupo huku sasa!


Wivu+majungu= umaskini WA kudumu
 
Ni yule Rwehumbiza wa Escrow, au ?

bila shaka. Vinginevyo aje humu ajisafishe au kukanusha. Mwenye kapicha ya menagement ya hiyo kampuni tutupie humu ili tujiridhishe kama ndiye au la.
Kwa maneno mengine ritz kabutua tena za escrow na zile za epa siyo?. Basi ametumia fursa vema lakini akae akijua kwa hili limenuka na kuiharibia familia na nchi kwa ujumla. Sheria ichukue mahali pake.
 
Wacha kua na akili za
kibumunda wewe,unaye mwona mwenye majungu nani hapa?ww ndio unamshobokea
huyo Riziwani,waliosoma nae darasa moja UD wanakwambia kilaza,wewe
ooohh kasoma kwa juhudi,kuliko nani?

Yeye kilaza ni sawa, sasa wao majinias wanahangaika nini na maisha yake kama wao ni watu makini na taaluma zao? Kwanini wasiconcentrate kwenye maswala ya msingi badala ya majungu,hawaoni kama wanawaste taaluma zao? Au ujiniasi wao ulibase zaidi katika specialization ya umbea na majungu?
 
Kwa matendo haya ya huyu dog usishangae JK akang'ang'ania madaraka kwani sheria haitamuacha kamwe Kumbuka maneno ya juzi juu ya Kibanda analewa madaraka ya babake
vinginevyo labda awe candidate wa urais 2015
Wakuu, what makes you believe that what you are saying is true? Can you provide evidence to support your claims or you are just saying because it feels good to exercise your rights including falsely accusing someone without facts simply because democratic privileges give you the right to do so?
Lets be fair to this young man and give him space to breath, or if its really necessary, lets bring forth evidence to back our claims against him. Mtu anatokwa povu kwa vile tu kahisi, kasikia kwenye kijiwe cha mateja wa unga, kasikia kutoka kwa mtu anaehisi mkewe anatembea na mkubwa fulani and so anachukia mtu yeyote anaehisi ana madaraka, ni fikra dhaifu sana.
 



Tatizo la Wabongo, tunaamini sana katika wivu na kuamini kuwa umaskini na frustrations zetu zinatatulika pale mwingine anaposhuka chini. Hatupendi mtu afanikiwe kimaisha.
 
Tatizo la Wabongo, tunaamini sana katika wivu na kuamini kuwa umaskini na frustrations zetu zinatatulika pale mwingine anaposhuka chini. Hatupendi mtu afanikiwe kimaisha.

Mkuu, mi nadhani tatizo hapo siyo mafanikio ya mtu, bali ni njia anazotumia huyo mtu kuyapata hayo mafanikio. Kama mtu anapata mafanikio kwa kupalangana kiwazi na kihalali u nadhani watu watakuwa na tatizo gani? Kitu kinachohojiwa hapa ni kama hayo mafanikio yamepatikana kwa njia halali. Kama hayakupatikana kwa njia halali ni kwa nini watu wasihoji? Wakihoji nyie mnawaona vilaza na wana wivu wa kike; That's not fair.
 

Tatizo sio kwamba tunapinga tu bila sababu, unamtuhumu vipi mtu bila ushahidi kuwa ni bilionea, mwizi? Bila vielelezo kuonyesha ana mali kiasi gani na za aina gani, amezipata kupitia pesa kutoka kwa nani, kiasi gani, kwa mikataba ipi ya kimagendo n.k
Kilichopo ni kudhani, sasa ukidhani utahukumu wengi sana wasio na hatia. Labda Nikueleze tu kuwa Ridhiwani sio Bilionea, mfahamu kwanza ndio utaelewa Nachokwambia. Usifanye mchezo na ubilionea Mkuu.
 
Hivi kwanini huyu jamaa asipewe ile nafasi aliyoiacha Warema sijui, nadhani ingemfaa mambo yangeenda smooth kabisa
 
yaan unataka tulete ushahidi kwamba 1+1=2..?! Mbuzi wewe..!
 
Kumbe!!.....umeshawahi kusikia Billionaire Saidi Bakhresa na watoto wake anaonewa wivu? Mbona Husein Mwinyi ni Waziri na hakuna lawama kwamba anabebwa?

labda kwa sababu babake sio presida lkn angekuwa presida angelaumiwa tu
 
Mkuu hizo ni sifa za mda tu, na hutazisikia tena mara baada ya uchaguzi mkuu unao tarajiwa kufanyika 2015. Ritz-moko nimesoma nae namwelewa vizuri sana ni kilaza kama .................... yake.

mkuu una uwa vibaya
 

KWELI mkuu kuna watu humu jf kazi yao ni kueachafuwa wengine nadhani walipwa
 

safi sana akiwepewa ujaji ndio vzuri
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…