Ridhiwani Kikwete, thibitisha au kanusha

NGOWILE

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
454
258

Ridhiwani kikwete naomba uthibitishe au ukanushe umiliki wako wa jengo hili ndani ya Dodoma.Nitatoa nyaraka baada ya kusikia kauli.Naomba kuwasilisha.
 

Attachments

  • DSC01292.JPG
    1.6 MB · Views: 21,217
Lile la gwami *(michael wage) moro lililomletea jerry muro maumivu mbona hujalileta hapa??
 
Hizi fund huyu dogo anazipata wapi? Ni zile za alishababu za kuteka meli nini?
 
kaka hilo tunalifahamu najua hawezi kanusha.Kama jina lake Kinanihii hivi.Hawajitoi mwaka huu nakwambia tunao
 
Riziwani fungua hospitali bana uiweke chalinze itakuwa na manufaa sana pia uweke na CT scan. Wewe tofauti na wale wanaoficha ulaya bil 300.
 
siku moja tutagawana mali za hawa mafisadi , siku moja liwalo litakuwa
 
Na chilakale resort na mijengo km uyoga huko moro bigwa, vp dar live mbagala. Unanunua ardhi robo heka kwa 100 million ukiitaka tu. Unahamisha watu. Je hela watoa wapi wewe???
 
View attachment 57923Ridhiwani kikwete naomba uthibitishe au ukanushe umiliki wako wa jengo hili ndani ya Dodoma.Nitatoa nyaraka baada ya kusikia kauli.Naomba kuwasilisha.

Duh!! huyu Ridhiwan atakuwa analingana na Bill Gates sasa, maana kila jengo na biashara mpya hapa bongo ni ya kwake. Wakuu hebu tuwacheni umbeya na uongo tujadili hoja za maana
 
Bado msoga kwa sugu moto chini leo kalipua huko kuna kijiji cha mkulu pia kina inuka. 2015 tutagawanaje ndio maan km wakina manyanya wanajipendekeza ili anaweza pewa gorofa moja.
 
Duh!! huyu Ridhiwan atakuwa analingana na Bill Gates sasa, maana kila jengo na biashara mpya hapa bongo ni ya kwake. Wakuu hebu tuwacheni umbeya na uongo tujadili hoja za maana
Ndio maana nimemtaka athibitishe au akunushe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…