BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,164
kumbe wewe mwalimu. . . .
Baba yake alishasema..."Mkitaka kula lazima mliwe kwanza" hivyo basi kaeni mkao wa kuliwa kwanza wana Magu
walimu bwana! Wameshasahau walipoitwa ''mbayuwayu'' na babake mtu. Haya polen mbayuwayu
Wana JF Bwana yesu awe. Pamoja nanyi na kwa waislamu Asalama aleko.
Leo hapa kwetu magu kuna sherehe ktk sekondari ya wahitimu wa kidato cha NNE wana habari na wakazi wengi wa mwanza wamekuja kumuunga mkono mtoto wa rais ktk hafla hii.
Lililo nisukuma ni jambo moja baada ya hotuba bwana ridhwani ametoa ahadi ya kusaidia shule hii TANKI la SIMTANK la lita 10,000 ambalo amedai lina thamani ya Tsh 5,000,000. Baada ya kauli hiyi Mjadala ukaanza hapa miongoni mwa watu. Tuliohudhuria kuwa je Tanki hilo linathamani hiyo?
Sisi huku magu hamna matanki yanamna hiyo nikaamua kuleta huu Mjadala Mtusaidie kufahamu thamani halisi ya TANKI hilo la Maji kwani sisi waalimu hatufahamu bei ya Kitu hicho kwakua sijawahi kuwaza kununua Tanki la Namna hiyo.
Tunaomba mtu saidie isije ikawa tunapigwa Changa la Macho.
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
umeshamaliza zile alawanzi za dicota mkuu??
Yaani nakudharau kweli nikikuona jf..... Ulikuja kwa mbwembwe, baada ya kupewa kati yako naona hata madeni yamepungua
bwahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wana JF Bwana yesu awe. Pamoja nanyi na kwa waislamu Asalama aleko.
Leo hapa kwetu magu kuna sherehe ktk sekondari ya wahitimu wa kidato cha NNE wana habari na wakazi wengi wa mwanza wamekuja kumuunga mkono mtoto wa rais ktk hafla hii.
Lililo nisukuma ni jambo moja baada ya hotuba bwana ridhwani ametoa ahadi ya kusaidia shule hii TANKI la SIMTANK la lita 10,000 ambalo amedai lina thamani ya Tsh 5,000,000. Baada ya kauli hiyi Mjadala ukaanza hapa miongoni mwa watu. Tuliohudhuria kuwa je Tanki hilo linathamani hiyo?
Sisi huku magu hamna matanki yanamna hiyo nikaamua kuleta huu Mjadala Mtusaidie kufahamu thamani halisi ya TANKI hilo la Maji kwani sisi waalimu hatufahamu bei ya Kitu hicho kwakua sijawahi kuwaza kununua Tanki la Namna hiyo.
Tunaomba mtu saidie isije ikawa tunapigwa Changa la Macho.
Nyie walimu nyie, sasa ndio mmefanya nini sasa.