Ridhiwani Kikwete na speed ya maendeleo Chalinze

Riz alipata ubunge kwa mbeleko ya baba.JK akiachia urais na m/kiti wa ccm riz hawezi kurudi bungeni,ni dhaifu mno.

Yote hayo anayofanya huko ukwereni ni kwa mgongo wa baba yake; jamaa akisha toka Magogoni tu huyo dogo kwishney, hata wapambe wa baba yake hatawaona tena!!!
 
We mbunge wako kakaa karibu miaka mitano sasa, kakuletea nini?

Mbona baba yake alikaa muda mrefu lakini hakufanya kitu.

Sasa mtoto kwa kutumia pesa za Ufisadi walizoiba ndio anawaletea Baiskeli na jinsi walivyo ndugu zangu Wakwere Wanavyopenda Baiskeli kwa ajili ya kubebea mikaa!!!!!!!!

Lazima watampa tena mwakani.
 
Tuhuma maanae ni nini???
Kama imethibitika kupatikanwa na hatia walau hoja yako ingelipata mashiko kiduchu, Wangapi wametuhumiwa na mwishoe ikawa kinyume chake???

Kumbe pia Great thinkers wanamhukumu na kumlaani mtu kwa tuhuma tupu pasina ithbati...
 
Yote hayo anayofanya huko ukwereni ni kwa mgongo wa baba yake; jamaa akisha toka Magogoni tu huyo dogo kwishney, hata wapambe wa baba yake hatawaona tena!!!

Humu ndani muna watabiri wangi tena watabiri wa mabaya tu,
Haya, lets wait and see
 
Ni wajibu wake...obvious hakuna kama yeye coz haijawah tokea mtoto wa rais anakuwa mbunge chalinze...
 
ridhiwani ni mfano wa kuigwa. hongera sn! uzi huohuo
 
Wewe kweli shetani mweusi usitake kuuadaa umma na hizo porojo zenu mnakesha mitandaoni kuwasifia mabwana zenu ili tu mkono uende kinywani,
1. Katoa baiskel 260 kwa wanaCCM kwa hiyo hayo ndio maendeleo?
2. Kuhusu umeme labda ungetuambia katika jimbo analoliongoza kuna vijiji vingapi vyenye umeme na vingapi havina umeme na anatarajia kupeleka umeme katika vijiji vingapi na shughuli hiyo imefikia hatua gani hadi sasa.
3. Kwa kuwa baba yake alikuwa mbunge na waziri katika jimbo hilo alifanya yepi makubwa? hauoni kuwa kwa nguvu nyingi zilizotumika na Familia na taasisi ya Urais kumpigia kampeni inawezekana kabisa kutokana na aibu ya kutotekeleza ahadi zake nyingi baba yake kwa sasa anatumia nguvu na fedha za Ikulu kumsaidia mtoto wake ili kumlinda kwa kanafasi hako alikokapata ka Ubunge?
/
mijitu ya bavicha wao hupinga kila kitu!
 
Hizo zote ni hekaheka na kuwania jimbo mwakani..ila ndo hivo ukitaka kula na kipofu usimshike mkono..riz changamkia fursa ikiwezekana wanunulie mpaka toyo ili uendelee kupeta mwakani
 
Mbona baba yake alikaa muda mrefu lakini hakufanya kitu.

Sasa mtoto kwa kutumia pesa za Ufisadi walizoiba ndio anawaletea Baiskeli na jinsi walivyo ndugu zangu Wakwere Wanavyopenda Baiskeli kwa ajili ya kubebea mikaa!!!!!!!!

Lazima watampa tena mwakani.
Watu ni wepesi wa kisahau!!!!
Mradi wa maji toka mto Wami hadi Chalinze unaukumbuka?
 
/
mijitu ya bavicha wao hupinga kila kitu!

Hakuna sehemu niliyoonyesha kupinga alichokiandika huyo Nyumba ndogo mwenzio wa Riz 1, ninachohitaji ni maelezo ya hiki nilichokiandika.

quote_icon.png
By kibogo

Back
Top Bottom