Ni wajibu wake...obvious hakuna kama yeye coz haijawah tokea mtoto wa rais anakuwa mbunge chalinze...
kwani chalinze imetoa maraisi wangapi?
Ni wajibu wake...obvious hakuna kama yeye coz haijawah tokea mtoto wa rais anakuwa mbunge chalinze...
We mbunge wako kakaa karibu miaka mitano sasa, kakuletea nini?
kwani chalinze imetoa maraisi wangapi?
Tukiachana na ushabiki jamaa kwel anafanya kaz nzuri
Riz alipata ubunge kwa mbeleko ya baba.JK akiachia urais na m/kiti wa ccm riz hawezi kurudi bungeni,ni dhaifu mno.
Kura hazikutosha kwa vile uliyemtegemea wapiga kura walimstukia na hawakumpa kura!Mi sina mbunge, mbunge niliyemchagua kula hazikutosha. 2015 lazima achukue!
Cpendi ccm
Bt km kweli anafanya hayo anaatahili pongezi
Kwa sababu tunachotaka ni maendeleo yaonekana
So unaweza kusimama mbele ya wanaume ukasema mwaka huu tumepata maendeleo kwa kupata baiskeli.? hebu tuache upumbavu bhana hizi rushwa na maslahi binafsi zisituharibie taifa. Ndo maana wahuni wanakamata madaraka na wanachuma mali zoote sie tunaishia kukenua tu eti anapokea simu !! so what a f...k kupokea simu. hata secretary anapokea simuWe mbunge wako kakaa karibu miaka mitano sasa, kakuletea nini?
Umeme watauweka wapi? nyumba zipo chalinze kweli? This is another way of corruption!
Mtu ana njaa unatoa baiskeli, si ata collapse? Hivi ndo maendeleo hayoo
Ni kama ndoto wachambuzi wa siasa wanasema huenda ridhione kikwete atafanya makubwa katika jimbo la chalinze kuliko waliomtangulia kwani katika mdaa mfupi ametekeleza mambo mazito makubwa Mengi shule za bordingi zimegawiwa vitanda,
Umeme unasambaa kata zote vijijini na wakazi 700 wa jimbo hilo vijijini kupata umeme kabla ya novemba mwaka huu
Kwa upande wa secta ya afya mashine za kisasa zinagawiwa katika kila hosipitali huku makazi ya waalimu yakiboreshwa huku vijiji vilivyofungwa mdaa mrefu kufunguliwa kwa barabara
Nilipopata kuongea na ------ mmoja maeneo ya msata amekiri kua mbunge kama ridhione hajatokeaga...kila mwezi yupo ziarani tunakutana nae anapokea simu zote kwa kweli tumepata mbunge Mungu ampe maisha marefu
Alisema ole tete kwesu kijana wa kimasai hata kwetu umasaini anakuja mara kwa mara kutatua migogoro yetu na kutusaidia kutafta soko bora la mifugo .....
Kura hazikutosha kwa vile uliyemtegemea wapiga kura walimstukia na hawakumpa kura!
Uchaguzi si suala la mapenzi.
Acha mapovu mkuu.So unaweza kusimama mbele ya wanaume ukasema mwaka huu tumepata maendeleo kwa kupata baiskeli.? hebu tuache upumbavu bhana hizi rushwa na maslahi binafsi zisituharibie taifa. Ndo maana wahuni wanakamata madaraka na wanachuma mali zoote sie tunaishia kukenua tu eti anapokea simu !! so what a f...k kupokea simu. hata secretary anapokea simu
Ha ha ha!!! kushindwa kubaya!!Bila kuiba kula CCM hamuwezi kushinda!