Ridhiwani Kikwete na speed ya maendeleo Chalinze

shetani mweusi

Senior Member
Joined
Jun 30, 2014
Posts
132
Reaction score
116
Ni kama ndoto wachambuzi wa siasa wanasema huenda ridhione kikwete atafanya makubwa katika jimbo la chalinze kuliko waliomtangulia kwani katika mdaa mfupi ametekeleza mambo mazito makubwa Mengi shule za bordingi zimegawiwa vitanda,

Umeme unasambaa kata zote vijijini na wakazi 700 wa jimbo hilo vijijini kupata umeme kabla ya novemba mwaka huu
Kwa upande wa secta ya afya mashine za kisasa zinagawiwa katika kila hosipitali huku makazi ya waalimu yakiboreshwa huku vijiji vilivyofungwa mdaa mrefu kufunguliwa kwa barabara

Nilipopata kuongea na ------ mmoja maeneo ya msata amekiri kua mbunge kama ridhione hajatokeaga...kila mwezi yupo ziarani tunakutana nae anapokea simu zote kwa kweli tumepata mbunge Mungu ampe maisha marefu

Alisema ole tete kwesu kijana wa kimasai hata kwetu umasaini anakuja mara kwa mara kutatua migogoro yetu na kutusaidia kutafta soko bora la mifugo .....
 
Attachments

  • 1411624316223.jpg
    1411624316223.jpg
    90.9 KB · Views: 983

Wewe kweli shetani mweusi usitake kuuadaa umma na hizo porojo zenu mnakesha mitandaoni kuwasifia mabwana zenu ili tu mkono uende kinywani,
1. Katoa baiskel 260 kwa wanaCCM kwa hiyo hayo ndio maendeleo?
2. Kuhusu umeme labda ungetuambia katika jimbo analoliongoza kuna vijiji vingapi vyenye umeme na vingapi havina umeme na anatarajia kupeleka umeme katika vijiji vingapi na shughuli hiyo imefikia hatua gani hadi sasa.
3. Kwa kuwa baba yake alikuwa mbunge na waziri katika jimbo hilo alifanya yepi makubwa? hauoni kuwa kwa nguvu nyingi zilizotumika na Familia na taasisi ya Urais kumpigia kampeni inawezekana kabisa kutokana na aibu ya kutotekeleza ahadi zake nyingi baba yake kwa sasa anatumia nguvu na fedha za Ikulu kumsaidia mtoto wake ili kumlinda kwa kanafasi hako alikokapata ka Ubunge?
 
Wenzio wanafuga akili kichwani wewe unafuga MAVI
 
Mtu ana njaa unatoa baiskeli, si ata collapse? Hivi ndo maendeleo hayoo
 
Wenzio wanafuga akili kichwani wewe unafuga MAVI

Kama wewe unafuga AKILI na mimi ninafuga mavi naomba ujibu nilichokiandika hapo chini tofauti na hivyo utakuwa nyumba ndogo ya Riz 1 ndio maana unatoa MISIFA YA KIJINGA ili tu uendelee kusitiliwa.

quote_icon.png
By kibogo

Wewe kweli shetani mweusi usitake kuuadaa umma na hizo porojo zenu mnakesha mitandaoni kuwasifia mabwana zenu ili tu mkono uende kinywani,
1. Katoa baiskel 260 kwa wanaCCM kwa hiyo hayo ndio maendeleo?
2. Kuhusu umeme labda ungetuambia katika jimbo analoliongoza kuna vijiji vingapi vyenye umeme na vingapi havina umeme na anatarajia kupeleka umeme katika vijiji vingapi na shughuli hiyo imefikia hatua gani hadi sasa.
3. Kwa kuwa baba yake alikuwa mbunge na waziri katika jimbo hilo alifanya yepi makubwa? hauoni kuwa kwa nguvu nyingi zilizotumika na Familia na taasisi ya Urais kumpigia kampeni inawezekana kabisa kutokana na aibu ya kutotekeleza ahadi zake nyingi baba yake kwa sasa anatumia nguvu na fedha za Ikulu kumsaidia mtoto wake ili kumlinda kwa kanafasi hako alikokapata ka Ubunge?
 
wote waliopata ubunge kwa migongo ya baba zao kama riz na january makamba watapata shida sana huko mbele ya safari.
 
Riz alipata ubunge kwa mbeleko ya baba.JK akiachia urais na m/kiti wa ccm riz hawezi kurudi bungeni,ni dhaifu mno.

Weye ambaye si mdhaifu umefanza nini??? Hebu jitathmini kiduchu tu umeifanzia nini nafsi yako kwa muumba wako, familia na watu na nasabu yako, majirani zako, ahli zako na mwishoe taifa lako kwa ujumla....
Usiwe mwepesi wa kulaum na kulalama, mgumu kutafakari na mzito kuafikiana na ukweli...
 
wote waliopata ubunge kwa migongo ya baba zao kama riz na january makamba watapata shida sana huko mbele ya safari.

Malata Junior

Umesomea fani ya Shee Yahya Hussein ama weye ni mrithi wake???
 
Riz alipata ubunge kwa mbeleko ya baba.JK akiachia urais na m/kiti wa ccm riz hawezi kurudi bungeni,ni dhaifu mno.

pamoja na madai yako yasiyo na msingi lakini Riziwani wakati wa kampeni alisema wazi kiini cha mgogoro wakulima na wafugaji kuwa migogoro hii nayo inasababishwa na viongozi wa kata
 
Wenzio wanafuga akili kichwani wewe unafuga MAVI
shetani mweusi ameanza kutukana. kaazi kwelikweli.
hukutaka kuambiwa ukweli sio?ukweli ni kwamba hakuna maendeleo aliyofanya hapo. amechukua(wizi huu) pesa ya wananchi na kuwanun ulia baiskeli, nani anayetaka baiskeli kwa dunia ya sasa-kama sio ya kufanyia mazoezi tu.inaeleweka kuwa fedha yote anyotumia huyo bwana inatoka ikulu; yeye katoa wapi fedha kama sio za ufisadi anaofanyia wananchi-gesi, mafuta n.k
Hana jipya, hata wewe huna jipya, uepewa vijisenti ili usemeseme maneno yako hayo.
 
Kwani Chalinze wote ni CCM? Anachotakiwa kufanya ni kukaa na watu wake na kubuni miradi ya maendeleo. Anachofanya kwa sasa ni nafasi nyingine ya kupata ubunge.
 
Back
Top Bottom