Idea is fuckin' useless until it is executed.Hebu peleka leo idea yako bank uone kama utapata hata thumni.Mtaji ni wazo (idea) kama idea ni viable na soko lipo, pesa zipo kwenye mabenki nk nk, sio lazima awe nazo cash yeye
mwenyewe.
Teh teh jibu mujarabuSass kama unayajua sasa mbona unauliza tena?
Acha maswali ya kitoto humu
Idea is fuckin' useless until it is executed.Hebu peleka leo idea yako bank uone kama utapata hata thumni.
Bank wanataka mtu atleast ambae ameanza kuonyesha njia,sio unawapelekea TAKATAKA inayoitwa eti Idea.
Hahah mkuu hawa jamaa wanajitoaga akili sana,wanahisi hatujui hata kinachoendeleaga huko bank.Hehehehe nmecheka SANA....umempaa makavu+hali halisi
OvA
Wanatuona maboya tatizoHahah mkuu hawa jamaa wanajitoaga akili sana,wanahisi hatujui hata kinachoendeleaga huko bank.
Saaana mkuu.Wanatuona maboya tatizo
Ova
Kijana akili yako ndogo sana.Benki TIB LTD Inatoa mikopo ya uwekezaji,kwa kuwa mmelemazwa na siasa za chuki na kushinda mitandaoni mnabweteka tu hamsomi wala kufanya research.Tengeneza mradi,tafuta ardhi sajili kamapuni peleka andiko lako uone kama utatoka kapa.Hiyo hela ya kujenga kiwanda inatoka wapi?Tujue hilo kwanza.
Nyie mnahangaika bure tuu, unaweza kukuta ni SOUND kama za Mwijage. Chama hicho watu wote waongo kuanzia kinara wao, wakina Kilango, Khasimu mwenyewe na wengine wote.Unafikiri benki wanagawa hela kama njugu tu!
Kijana akili yako ndogo sana.Benki TIB LTD Inatoa mikopo ya uwekezaji,kwa kuwa mmelemazwa na siasa za chuki na kushinda mitandaoni mnabweteka tu hamsomi wala kufanya research.Tengeneza mradi,tafuta ardhi sajili kamapuni peleka andiko lako uone kama utatoka kapa.
Mnalishwa uongo na akina Mbowe,huku wao wanakopa mpaka wanashindwa kurudisha,nyie mtabaki na kazi ya kuponda tu mitandaoni
Mleta mabadiliko alafu huyo huyo ni mkwepa kodi mkubwa!!!?Nyie mnahangaika bure tuu, unaweza kukuta ni SOUND kama za Mwijage. Chama hicho watu wote waongo kuanzia kinara wao, wakina Kilango, Khasimu mwenyewe na wengine wote.
Hahah TIB hii hii?Labda kwa sababu inawakopeshaga wakina SAIMON,yule mmiliki wa UDA na mwanachama wa chama chenu na wanashindwa kulipa kama kawa.Kijana akili yako ndogo sana.Benki TIB LTD Inatoa mikopo ya uwekezaji,kwa kuwa mmelemazwa na siasa za chuki na kushinda mitandaoni mnabweteka tu hamsomi wala kufanya research.Tengeneza mradi,tafuta ardhi sajili kamapuni peleka andiko lako uone kama utatoka kapa.
Mnalishwa uongo na akina Mbowe,huku wao wanakopa mpaka wanashindwa kurudisha,nyie mtabaki na kazi ya kuponda tu mitandaoni
Mto NGONO nasikia umekauka?Mleta mabadiliko alafu huyo huyo ni mkwepa kodi mkubwa!!!?
Mfalme Mbowe achia uenyekiti haraka sana
HahahNenda basi TIB ukachkue mkopo ufungue kiwanda cha pampers basi mkuu
OvA
huwa sifanyi miradi ya kitoto wewe,mashine ya pampers unaweza hata kuifunga chumbani ukalala nayoNenda basi TIB ukachkue mkopo ufungue kiwanda cha pampers basi mkuu
OvA
Tatizo wabongo mnashabia sana udaku na habari za vijiweni.Wewe ulishajaribu kuomba mkopo ukanyimwa?Hahah TIB hii hii?Labda kwa sababu inawakopeshaga wakina SAIMON,yule mmiliki wa UDA na mwanachama wa chama chenu na wanashindwa kulipa kama kawa.
Mpk kuna Bank ya kilimo sasa hivi Tanzania,unaijua lakini?Jiulize hio mikopo ya Wakulima wanawapaga wakina nani,nakumbuka mara ya Mwisho mzee Majuto aliishiaga kumuomba Kikwete amnunulie tractor la kilimo.Kama kawa mzee wa Msoga akampa bonge la "Killing smile" afu akamuachia manyoya mpk leo hakuna cha tractor wala nini.
Hii ndii Bongo land.
Sio nimeshaomba mkopo,nimefanya kazi bank kwa zaidi ya miaka 12 sasa.Najua in&out zooote za Bank ambazo pengine wewe hata robo yake huzijui.Tatizo wabongo mnashabia sana udaku na habari za vijiweni.Wewe ulishajaribu kuomba mkopo ukanyimwa?
Unamjua Majuto au unamuona kwenye Tv tu