Naomba muweke basi hiyo report ya slaa jamvini ili tupate habari kamili.
hivi huyu kijana mwenzetu ana usafi gani hata achafuliwe binafsi na kwa wafuatiliaji wenzangu wa siasa ndani ya ccm watatambua ridhiwani kikwete hana usafi wowote hata kuwa katika nafasi ya kuchafuliwa tena ni aibu kwa mtu mzima kama ridhiwani kuendelea kumtegemea mzazi wake namaanisha kuwa tegemezi je huo nao ni usafi! naam habari za uchakachuaji matokeo zilishatolewa awali na source za kuaminika naye ridhiwani na nduguye khalifani walihusishwa (ofisi zao zikiwapo upanga) by then hawajawahi kukanusha kuhusika kwao! mawazo haya yanatokana na ripoti aliyoitoa leo mgombea urais dr slaa akimhusisha na uchakachuaji wa matokeo
hv huyu ridhwan ni nani? who the hell is this click? na anaingiaingiaje kwenye issues za great thinkerz? mi namwona km vile mcheza kiduku, asijedhan kuwa ana umaarufu wowote.
Ridhiwani kuna watu wanamuona kama mungu mtoto.... (hata mods wamebadilisha title ya hii thread mapema sana).
Huyu dogo nymbafu kabisa.. kwani kichwani kajaza manyama tu tena yaliyo oza, mimi nilikuwa naye pale complex ambayo sasa mnaiita MUCE.Mtoto wa nyoka ni nyoka jamani kuna ubishi
Mtoto wa nyoka ni nyoka jamani kuna ubishi
Naye mbumbumbu kama babayake, hakusoma hesabu za makadirio hata ile common sence hawanaHivi Ridhiwani huoni kuwa unajidanganya? Mara unasema tarehe hiyo hukuwa Mwanza, Mara unadai eti Hiyo hoteli yenyewe huijui ilipo. Sasa mbona unadai hiyo hoteli haina uwezo wa ku accomodate watu 30? Acha upupu kuna ukweli unaujua.