Ridhiwani Kikwete: Dokta Slaa anataka kunichafua!

kilaza tuu, mtu mzima ovyoo anakuwa umrii tu maarifa hanaga sijui yukoje!
ameinvest kwenye wizi wa feza na umma na ukahaba kama babake basii!
kwanza ana akili za maarifa mwisho wake io 2015 babake akitoka madarakanii,
hawezi kuja kuwa raisii huyuu jaman allah! kilaza ivvvv.
 
Naye mbumbumbu kama babayake, hakusoma hesabu za makadirio hata ile common sence hawana
Hotel kama ile isiwe na ukumbi wa watu hao.
Halafu JK akienda kuiba nani aripoti? kwani alienda kwa mazuri?
Huyu dogo kilaza vibaya mno. ananitia kichefuchefu:bowl::A S angry:

Utumbo mtupu
 
Ingawa hata mwendawazimu ana jambo ambalo watu wanaweza kujifunza, Vox Popuili nasema, yasemwayo na ridhiwani (nimeandika kwa herufi ndogo makusudi tafadhali) ninayaona kama ni ubatili mtupu na kujilisha upepo. Kamwe kisuguu hakiwezi kuwa mlima kutokana na nguvu ya mchwa. Hekima za mwendawazimu ni kuona kwamba watu wanatambua uwepo wake, naye hufurahia hilo, lakini kwa wenye hekima, ujinga wa mwenye hekima ni akili ya mpumbavu. Plizi teki notisi ofu thisi. Thenkyuuuu.

Umenena kwa hekima ya hali ya juu sana ,nimekukubali
 
hivi huyu kijana mwenzetu ana usafi gani hata achafuliwe binafsi na kwa wafuatiliaji wenzangu wa siasa ndani ya ccm watatambua ridhiwani kikwete hana usafi wowote hata kuwa katika nafasi ya kuchafuliwa tena ni aibu kwa mtu mzima kama ridhiwani kuendelea kumtegemea mzazi wake namaanisha kuwa tegemezi je huo nao ni usafi! naam habari za uchakachuaji matokeo zilishatolewa awali na source za kuaminika naye ridhiwani na nduguye khalifani walihusishwa (ofisi zao zikiwapo upanga) by then hawajawahi kukanusha kuhusika kwao! mawazo haya yanatokana na ripoti aliyoitoa leo mgombea urais dr slaa akimhusisha na uchakachuaji wa matokeo

Alikwisha jichafua mwenyewe siku nyingi tu na kinachofanyika sasa ni kuuweka uchafu huo hadharani tu so asi-complain bali ajilaumu mwenyewe
 
kitendo cha kujiingza kwenye sias ndiko kuliko mchafua
 
Hili toto linatia aibu kwa vimbwanga vyake ama kweli kuwa uyaone JK orijino a.k.a mchonga, Mzee ruksa na Ben a.k.a Chinga boy watoto wao hawakuonyesha upuuzi kama wa ki riz 1, tabia hii inashiria anapewa malezi ya aina gani.
Habari zisizo rasimi hili toto linahusika na kushinikiza uchakachuaji wa matokeo ya kura za ubunge shy wakiwa na makamba, kama siyo hivyo walifuata nini SHINYANGA hali si waajiriwa wa nec kama sikushinikiza uchakachuaji wa matokeo?
Huyu akisemwa kwa lolote baya linakubalika kwa vile ameshiriki katika kashfa nyingi sana hapa njini TZ masauni, bashe, matokeo ya ubunge Shinyanga na mengine mengi, huyu dogo anahitaji ushauri nasaha ajifunze kuishi na watu mh jm kikwete naye akemee hizo tabia tata za huyu dogo. Kama kweli huyu ndiyo anaandaliwa kuwa prezidaa 2025 TUMWEKWISHA KILA KITU KITAUZWA
Kheeh riz 1 aliandaliwa tangu mda kuwa prezidaa 2025???
 
Kama Mfumo huu wa Kifalme hauto ondolewa haraka, miaka ya usoni wafuatao ni lazma watakuwa marais wa nchi hii kwa vigezo vya wazazi wao.
....Husein Mwinyi
....January Makamba
....Ridhiwani Kikwete
....na wengine watajulikana kadri wanavyoendelea kukuwa.
Km ulijuaa vile,
Hussein Mwinyi tayarii,

Bado hawa wenginee
 
Hivi huyu kijana mwenzetu ana usafi gani hata achafuliwe binafsi na kwa wafuatiliaji wenzangu wa siasa ndani ya ccm watatambua ridhiwani kikwete hana usafi wowote hata kuwa katika nafasi ya kuchafuliwa tena ni aibu kwa mtu mzima kama ridhiwani kuendelea kumtegemea mzazi wake namaanisha kuwa tegemezi je huo nao ni usafi!

Naam habari za uchakachuaji matokeo zilishatolewa awali na source za kuaminika naye ridhiwani na nduguye khalifani walihusishwa (ofisi zao zikiwapo upanga) by then hawajawahi kukanusha kuhusika kwao!

Mawazo haya yanatokana na ripoti aliyoitoa leo mgombea urais dr slaa akimhusisha na uchakachuaji wa matokeo
Dogo Ridhiwani kajichafua mwenyewe ka kujihusisha na uuzaji unga. Viongozi karibu ya wote wanamchekea kijino pembe tu ila hawamtaki, kalitia taifa letu hasara sana kwa mikataba ya kijinga na Wachina. Wangemuachia anyongwe tu tulikomboe taifa letu.
 
Back
Top Bottom