Ridhiwani Kikwete: Dokta Slaa anataka kunichafua!

Lenana

JF-Expert Member
Oct 10, 2010
421
79
Hivi huyu kijana mwenzetu ana usafi gani hata achafuliwe binafsi na kwa wafuatiliaji wenzangu wa siasa ndani ya ccm watatambua ridhiwani kikwete hana usafi wowote hata kuwa katika nafasi ya kuchafuliwa tena ni aibu kwa mtu mzima kama ridhiwani kuendelea kumtegemea mzazi wake namaanisha kuwa tegemezi je huo nao ni usafi!

Naam habari za uchakachuaji matokeo zilishatolewa awali na source za kuaminika naye ridhiwani na nduguye khalifani walihusishwa (ofisi zao zikiwapo upanga) by then hawajawahi kukanusha kuhusika kwao!

Mawazo haya yanatokana na ripoti aliyoitoa leo mgombea urais dr slaa akimhusisha na uchakachuaji wa matokeo
 
hivi huyu kijana mwenzetu ana usafi gani hata achafuliwe binafsi na kwa wafuatiliaji wenzangu wa siasa ndani ya ccm watatambua ridhiwani kikwete hana usafi wowote hata kuwa katika nafasi ya kuchafuliwa tena ni aibu kwa mtu mzima kama ridhiwani kuendelea kumtegemea mzazi wake namaanisha kuwa tegemezi je huo nao ni usafi! naam habari za uchakachuaji matokeo zilishatolewa awali na source za kuaminika naye ridhiwani na nduguye khalifani walihusishwa (ofisi zao zikiwapo upanga) by then hawajawahi kukanusha kuhusika kwao! mawazo haya yanatokana na ripoti aliyoitoa leo mgombea urais dr slaa akimhusisha na uchakachuaji wa matokeo

Acha ujinga wako; Dr. Slaa hana muda wa kushuhulika na kilaza kama Ridhwani kwani hata baba yake anamuogopa Dr. kwa kila hali!! Sasa kaa na ujinga wako na hao wafadhili wako.
 
hv huyu ridhwan ni nani? who the hell is this click? na anaingiaingiaje kwenye issues za great thinkerz? mi namwona km vile mcheza kiduku, asijedhan kuwa ana umaarufu wowote.
 
hv huyu ridhwan ni nani? who the hell is this click? na anaingiaingiaje kwenye issues za great thinkerz? mi namwona km vile mcheza kiduku, asijedhan kuwa ana umaarufu wowote.

Ridhiwani kuna watu wanamuona kama mungu mtoto.... (hata mods wamebadilisha title ya hii thread mapema sana).
 
Ingawa hata mwendawazimu ana jambo ambalo watu wanaweza kujifunza, Vox Popuili nasema, yasemwayo na ridhiwani (nimeandika kwa herufi ndogo makusudi tafadhali) ninayaona kama ni ubatili mtupu na kujilisha upepo. Kamwe kisuguu hakiwezi kuwa mlima kutokana na nguvu ya mchwa.

Hekima za mwendawazimu ni kuona kwamba watu wanatambua uwepo wake, naye hufurahia hilo, lakini kwa wenye hekima, ujinga wa mwenye hekima ni akili ya mpumbavu. Plizi teki notisi ofu thisi. Thenkyuuuu.
 
Ridhiwani kuna watu wanamuona kama mungu mtoto.... (hata mods wamebadilisha title ya hii thread mapema sana).

Mungu Mtu? Arudishe hela za mgao wa Deep Green alizopewa na lile jambazi Masha lilitokomewzwa na Wana-Mwanza juzi! Na akitaka kuingia malumbano kwenye magazeti ataaibika saana, ni bora akae kimya!!!!
 
Among the most hated people in tz,ridhiwani is one them.others are rostam,makamba,lowasa and chenge.
These have caused some tanzanians to hate ccm bcoz they are controlling ccm and the govt.
One day they gonna pay the price.
 
Ridhiwani ni kilaza, anajifanya expert wa kila kitu. hana lolote
 
Hivi Ridhiwani huoni kuwa unajidanganya?

Mara unasema tarehe hiyo hukuwa Mwanza, Mara unadai eti Hiyo hoteli yenyewe huijui ilipo. Sasa mbona unadai hiyo hoteli haina uwezo wa ku accomodate watu 30? Acha upupu kuna ukweli unaujua.
 
Mtoto wa nyoka ni nyoka jamani kuna ubishi
Huyu dogo nymbafu kabisa.. kwani kichwani kajaza manyama tu tena yaliyo oza, mimi nilikuwa naye pale complex ambayo sasa mnaiita MUCE.

Kilaza kabisa kichwa chake ni Shake before use, asiwababaishe watanzania huyo. hana lolote. Mbwa mwitu tu huyo.
 
Huyu dogo hana akili, ivi elimu yake ni mwanasheria watu wanasema!? kama ni hiyo basi nayo kapata kupitia mgongo wa baba yake.

Sasa hawa waandishi wa habari wamemchukua yeye kam a nani???
Watu nao kujikomba bwana!!
 
Hivi Ridhiwani huoni kuwa unajidanganya? Mara unasema tarehe hiyo hukuwa Mwanza, Mara unadai eti Hiyo hoteli yenyewe huijui ilipo. Sasa mbona unadai hiyo hoteli haina uwezo wa ku accomodate watu 30? Acha upupu kuna ukweli unaujua.
Naye mbumbumbu kama babayake, hakusoma hesabu za makadirio hata ile common sence hawana
Hotel kama ile isiwe na ukumbi wa watu hao.

Halafu JK akienda kuiba nani aripoti? kwani alienda kwa mazuri?
Huyu dogo kilaza vibaya mno. ananitia kichefuchefu:bowl::A S angry:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom