jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,063
- 28,263
Ridhiwani Kikwete amekiri na kumpongeza Mh Rais Magufuli kuwa Jitihada za Serikali yake zimewezesha kuanzishwa kwa ujenzi wa viwanda saba.
Kabla ya awamu ya Magufuli Chakunze haikuwa na mradi wowote wa ujenzi wa viwanda.
Awataka watu waache kubeza juhudi za Rais Magufuli na kama wakitaka kuona mafanikio kwenye sekta ya viwanda waende chalinze.