Ridhiwani Kikwete: Chalinze yawa mfano katika utekelezaji wa sera ya Viwanda!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,034
28,201
Ridhiwani Kikwete amekiri na kumpongeza Mh Rais Magufuli kuwa Jitihada za Serikali yake zimewezesha kuanzishwa kwa ujenzi wa viwanda saba.

Kabla ya awamu ya Magufuli Chakunze haikuwa na mradi wowote wa ujenzi wa viwanda.

Awataka watu waache kubeza juhudi za Rais Magufuli na kama wakitaka kuona mafanikio kwenye sekta ya viwanda waende chalinze.
 
Sasa chalinze kuna viwanda gani? Au mafundi cherehani na mashine za kusaga zilizojaa pale Bwilingu?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom