Ridhiwani Kikwete: Chalinze yawa mfano katika utekelezaji wa sera ya Viwanda!

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe, anajitahidi sana kama mbunge!!!
 
Kwa hiyo tuliposema Tanzania ya viwanda, kwa nyie msioelewa, tulikuwa na maana ya Mkoa wa Pwani...!!
 
Bado sijawahi kusahau ile kaulimbiu ya "Maisha Bora kwa Kila Mtanzania".. kweli CCM ni kiboko..
 
Back
Top Bottom