TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,902
- 11,292
haina mantiki kabisa hii topikiWadau naomba kujua kama mtajwa hapo juu anaishi na baba yake hapo Ikulu.
Je kama anaishi hapo ni sawa?
Naomba kuwasilisha
naona tunapersonalize sana
haina mantiki kabisa hii topikiWadau naomba kujua kama mtajwa hapo juu anaishi na baba yake hapo Ikulu.
Je kama anaishi hapo ni sawa?
Naomba kuwasilisha