Ridhiwani bungeni, kulikoni?

Ridhiwani bungeni, kulikoni?

]Ebwana nakweli kakimbia kamera bwana namimi nimeliona hilo[/COLOR] yani cjui labda kuna lolote jambo hapo embu tuone!!!!

Ungempiga tu wakati akikimbia hiyo kamera
 
natamani nikutukane ila nagundua tatizo lako ni brain drain ndo mana upo humu ili kupigwa msasa kichwa chako
<br />
<br />
Jf ni kwa great thinkers ,wanaotamani kutukana wenzao hapa sio mahali pao,pole
 
Unajua huyu mtoto ni chizi sana ,,, anajifanya kuwa hatujui anamiliki mgodi mdogo huko Kahama ambao haujasajiliwa kisheria na Ngeleja analijua hili ndoo maana wakuu huyu dogo kaenda bungeni kusikiliza hii bajeti ya nishati na madini ili ajue jinsi ya kuiba vizuri.
 
Unajua huyu mtoto ni chizi sana ,,, anajifanya kuwa hatujui anamiliki mgodi mdogo huko Kahama ambao haujasajiliwa kisheria na Ngeleja analijua hili ndoo maana wakuu huyu dogo kaenda bungeni kusikiliza hii bajeti ya nishati na madini ili ajue jinsi ya kuiba vizuri.
Unajua hizi stori zenu za kitchen party ndio zinachafua jina la JF?
 
Acha chuki hizo wewe, wanasheria wana mkutano wao Dodoma (akiwem Ridhwani) na baadhi wameamua kwenda kuona bunge lifanyavyo kazi, hilo nalo kosa?
Nijuavyo Ridhiwani ni mwanasheria lakini si wakili na mkutano ulokuwa Dodoma si wa wanasheria wote bali hivyo hiyo si hoja ya msingi ya yeye kuwa Dodoma labda ije nyingine
 
Kujua kafuata nini ngumu. Ila katiba haijamzuia kuwa huko. Mbona watoto wa vigogo wengine wapo? Labda kaenda kuchuagua siti ili 2015 achukue jimbo fulani.
 
Nafikiri hata wewe unafikiri kama hao ulio wasema sababu hata kuwajadili hao pia ni kwa maslahi ya taifa kwan nao wanachagia katika kudhoofisha taifa so lazima wajadiliwe unawatetea kwani taifa nin nini??mbona uelewa wako mduchu taifa bila uongozi wawatu sio taifa unapo zungumzia taifa ni pamoja na utawala uiopo na utawala huo ni watu ambo wwe hutaki tuwajadili sasa utajadili tanzania bila kuhusisha waliopo tanzania?

Use yo brain in deep b4 loud out damn..!!! HII INAMUHUSU ALIYE SEMA TUJADILI MAMBO YENYE MASLAHI KWA TAIFA NA SIO KUMJADILI MTU..
 
Watu mnaacha kujadili mambo yenye maslahi kwa taifa, mnamfatilia mtu binafsi na kuspeculate motives, kweli kuna baadhi ya wana JF mnatumia Masaburi kufikiri.
...Na wewe mmoja wao...kilikuleta nini hapa? dogo fisadi sasa watu wasiseme? masaburi yako!!
 
Nov 2015 atasahaukika kabisa, afanye linalowezekana sasa, he has only 4 yrs left to play with system. ila awe mwangalifu who knows after 2015 ?

Kuna watu watakimbilia somalia bila kupenda -- lol
 
Unajua hizi stori zenu za kitchen party ndio zinachafua jina la JF?
lisemwalo lipo kama halipo......
pafukapo moshi.....
dalili ya mvua........

Yetu macho na subira yavuta kheri.
 
Inabidi wajue Tanzania hii sio ilee ya yr 47 inaumaaaaaa zikifika 40 poa tu itajulikana nakuwekwa adharani EE Mungu tusaidie Watanzania hasa katika Nishati na madini kuna mambo mingi mnooooo! Ila vyote hivi TUTAVIACHAAAAA.
 
Inchi hi tangu enzi za mwalim viongoz pekee waloshirikisha familia kuendesha nchi ni hawa wapenda cheza bao.mwl alimpasha mwinyi aache kushauriwa na mkewe,sasa ni wakat wa tz kumwambia ****** NO riziwani asikushauri kwani hatumtambui.hi tabia ya waislam kuwaweka watoto mbele maswala ya kitaifa big NOOO
 
Mimi sio Mtaalamu sana wa Mambo ya Umeme ila najua ukitaka kusafirisha umeme bila kupoteza Current (Umeme Mwingi) nyingi unatakiwa uweke kwenye very high Voltage!! Ila kusafirisha umeme kwa njia ya Cables ni so Cheap than Making power plants in each Towns, Kama ilivyo kwa Cables tayari za Kuunganisha mikoa hiyo tayari Zipo (Grid ya Taifa)

Huyu Kijana ana Malori ya Kusafirisha Mafuta!! Sasa suala ni Kwa nini tunaweka Fuel Generator Kwenye Miji ya Mwanza, Dodoma na Arusha? Je hatuoni Gharama ya kusafirisha haya mafuta ndio yatatuongezea Gharama ya umeme? Jamani tusimame pamoja wananchi Tuyakatae Haya Mambo ya Kutufanya Shamba la kuvunia!

Ikumbukwe Kuweka hizi fuel Generator Kwenye Miji iliyopo Kando kando ya Bahari Gharama za Mafuta zingepungua sana katika kuyasafirisha hadi dodoma, Mwanza na Arusha
 
Kwa wale waliopo Tegeta Wataweza Kunijuza namna wanavyoona Trips za Kupeleka Mafuta Plale zilivyo extensive!! Ssasa itakuwaje kwa Dodoma Hadi Mwanza na arusha? Jamani!!! Tuyakatae Haya!!
 
Acha chuki hizo wewe, wanasheria wana mkutano wao Dodoma (akiwem Ridhwani) na baadhi wameamua kwenda kuona bunge lifanyavyo kazi, hilo nalo kosa?
<br />
<br />
Ivi ni mwanasheria eehe!!amebase wapi kwenye sheria au business?
 
Back
Top Bottom