Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,508
- 6,892
Hakika huyu ndiye Rais ajaye
Mkuu kwa kuongezea tu Ridhwani ana Resorts za kufa mtu kule Morogoro maeneo ya Mzumbe na Bigwa kule milimani,ni investment za billions of money,ameweka na coaster 14 mpya kwenye resort yake ya Chilakale kule Bigwa na Chilakale ya Mzumbe ameweka coaster 8 bado zote hazijaanza kutumika,wanatuona sisi wajinga eti wamempa jamaha wa usalama wa taifa anaitwa Mbena Malumbi ndio ajifanye Chilakale resorts ni mali zake wakati si kweli,mbaya zaidi ujenzi wao una athiri mpaka vyanzo vya maji kwenye milima ya uluguru
la pembeni!jiwe alilolikataa nape sasa limekuwa jiwe kuu.
mimi pia nimesikia kwamba complex resort hapa gongola mboto,chimalamala hotel chanika na kiluwiluwi resort maeneo ya kibamba ni zake.nimeambiwa pia tanga beach resort iliyoko mkoani tanga ni yake rizimoko.
Kwa kweli juzi ndo ilikuwa Mara yangu ya kwanza Kumuona Huyu Mamvi kwa karibu kabisa tangu mwaka 1999 akiwa mkuu wa Bodi ya Shule Ya secondari ya Molinge Sokoine, Jamaa kwanza kazeeka sana tena sana, na anatetemeka vibaya,
Kilicho niacha hoi ni hotuba yake, Membe kumbe alikuwa akimsema huyu jamaa, kuongea jukwaani si kipaji chake kabisa, yeye ni pesa tu ndo inamfanya awe maalufu, Mwanzo mwisho ilikuwa Hapo vipi, hapo vipi, hapo vipi, hapo vipi,
Umemaliza mkuu!hata shetani ndo anayeongoza kwa kuwa na utajiri wa wafuasi
Mkuu umenena ujue tunapenda sana kushabikia vitu bila kutafakari hali ya baadae. Mkuu hakika hakuna cha bure ulimwengu huu. Mwenye kuelewa atazidi kuelewa na mpumbavu atazid kua mpumbavu vilevile.Lowasa hao marafiki wana kupa pesa kama nani? kwanini wakupe wewe tu? kama ni kweli malipo yake unayajua? kama Mungu unakujalia unakuwa rais wa nchi hii kwa misaada ya rafiki zako unajua shukrani utakao wapa? wakiomba mikataba ya kitapeli kama Richmond utawanyima? hii nchi imeisha kwisha ina subiri kuzikwa. Lowasa sikujua kama una mapenzi na watanzania kiasi hiki ya kwamba rafiki zako wakikupa pesa kukusaidia wewe unatoa misaada. na kwani nini wema huu umejitokeza kipindi hiki karibia na 2015. Mungu akujalie, kuna siku utarudi kutueleza yaliyo kweli
hapana mkuu. tumia lugha laini kidogo inayothamini utu wa mtu. japo hata mimi siungi mkono ufisadi lakini roho ya mtu ina thamani kubwa kupita fedha.huyu mzee ngojwa lake lina msubua nilishikana nae mkono juzi mkono wake unatetemeka kama kapigwa shoti ya umeme ajifie tu maana kashaua wengi..
rais wa chama cha wacheza pool?Hakika huyu ndiye Rais ajaye
Unaidhalikisha Yanga, sema Rais wa Saccoss huko Monduli chini. Au Rais wa Vikoba japo itabidi asiwe na mamlaka ya kuidhnisha matumizi (manunuzi) vinginevyo itakuwa Richmond nyingine a.k.a Richmonduli.
Hakika huyu ndiye Rais ajaye