Ridhiwan Kikwete: Hoja za CAG zijibiwe kwa kufuata sheria na si kisiasa

Hapo hata wakija hao wataalamu hawawezi kutoa majibu tofauti na mabosi wao hata kama wana ukweli fulani wataogopa kuwaumbua mabosi (mawaziri) wao. Awamu hii ni kituko juu ya kituko. Kila mmmoja anataka aje na kituko chake.
Na kweli ni kama wame take cover mbele .hakuna majibu toka nyuma yatakao kuwa tofauti na ya mbelee .bila kusahau take cover mkuu .Tuko vizuri tembeeni kifua mbelee
 
Bila shaka MwenyeziMungu anataka kuleta nusura, haya ni maandaliza ya ccm kuondoka madarakani maana kila bays walitendalo wao hujihebu wako sahihi. Allah ajalie waendelee hivyo hivyo
Alafu anakaa nani? Mbowe au lowassa
 
Back
Top Bottom