johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,018
- 142,058
Mbona Lisu anagombea?Tatizo hana mvuto was kisiasa
Hana tofauti na Membe na Hussein Mwinyi.Tatizo hana mvuto was kisiasa
Hahahaaaa.......!Kwa sababu ya kupita bila kupigwa! Huu sasa ni utani.
Hawa wapumbavu wanaojitoa katikati ya kampeni ndio wanaotuchelewesha kufika kwenye safari yetu ya ukombozi .
Kheri ya hawa wamethubutu wewe ambaye umejificha nyuma ya jina bandia ndiye mpumbavu kabisa, mwonga na dhaifu unayetuchelewesha kwendaHawa wapumbavu wanaojitoa katikati ya kampeni ndio wanaotuchelewesha kufika kwenye safari yetu ya ukombozi .
Hawa wapumbavu wanaojitoa katikati ya kampeni ndio wanaotuchelewesha kufika kwenye safari yetu ya ukombozi .
Mimi niko site nawafukia mazwazwa pamoja na Zwazwa mkuu huku Kigoma, ambae analalamika bei ya umeme iko juu kuliko hata UK and US wakati yeye anamadaraka yote.Kheri ya hawa wamethubutu wewe ambaye umejificha nyuma ya jina bandia ndiye mpumbavu kabisa, mwonga na dhaifu unayetuchelewesha kwenda
Ndio mimi nimtumwa wa Magufuli, nilienunuliwa na Mwigulu ili nipewe ubunge wa vitu maalum SONGWE .Kwani wewe bado mtumwa?
Basi usitukane wenzakoMimi niko site nawafukia mazwazwa pamoja na Zwazwa mkuu huku Kigoma, ambae analalamika bei ya umeme iko juu kuliko hata UK and US wakati yeye anamadaraka yote.
Hapana niupumbavu kuomba upewe ridhaa yakupeperusha bendera kisha unajito, wakati kuna watu wengine waliitaka nafasi hio lkn ukapewa wewe, halafu mwisho wasiku unajitoa.Basi usitukane wenzako
Kama wazazi wako waliachana shida nini sasa hapo?Hapana niupumbavu kuomba upewe ridhaa yakupeperusha bendera kisha unajito, wakati kuna watu wengine waliitaka nafasi hio lkn ukapewa wewe, halafu mwisho wasiku unajitoa.
Membe yaliyomfika si umeyaona, Hessein kule Zanzibar ndio ashafika ukomo labda aje ateuliwe umakamuHana tofauti na Membe na Hussein Mwinyi.
Ndio Tanzania ya V Wonder hiyoMimi niko site nawafukia mazwazwa pamoja na Zwazwa mkuu huku Kigoma, ambae analalamika bei ya umeme iko juu kuliko hata UK and US wakati yeye anamadaraka yote.
Lissu utamfananisha na Ridhiwani? Tena aombe Mungu mzee wake azidi kuwa hai vinginevyo atageuka MakongoroMbona Lisu anagombea?
Sasa kama chakula kimewekwa mezani halafu una njaa ya kufa, utashindwa kula? Kwenye Biblia Esau aliuza haki yake ya kuwa mtoto wa kwanza kwa nduguye Yakobo kwa sababu ya chakula baada tu ya kuzidiwa na njaa!
Njaa haina baunsa! Ni vizuri kuingia kwenye siasa ukiwa umejitosheleza! Badala ya kuingia huko kwa sababu tu wewe ni mbwa mkali na unayebweka sana. Siku ukitupiwa tu pande la nyama, utajikuta kubweka kote kunaisha mara moja.
Mifano ni mingi, muda ni mchache! Salamu nyingi kwa Dr. Slaa na wenzake wengi.