Uchaguzi 2020 Ridhiwan Kikwete apita bila kupingwa Ubunge Chalinze, labda ndiye " yule" ajaye 2025!

Hawa wapumbavu wanaojitoa katikati ya kampeni ndio wanaotuchelewesha kufika kwenye safari yetu ya ukombozi .
Kule Zanzibar Mr White alivyofariki CCM imepewa nafasi nyingine.
Na huyu jinga aliekimbia mtanange inabidi Chadema iweke mtu mwingine .
 
Mtu anapoamua kujitoa wakati huu huyo ni wa kumchunguza kwa makini sana, hii sio akili ya kawaida, lazima kuna sababu nyuma ya pazia.
 
Ni jambo jema.

NEC imempitisha bila kupingwa Ridhiwani Kikwete kuwa Mbunge wa jimbo la Chalinze baada ya mshindani wake kutoka chama pinzani kujitoa.

Source Swahili times

Maendeleo hayana vyama!
Ridhwani hakuna lolote amefanya chalinze ...zero ...kweli bagamoyo bado nyjma mnooo
 
Back
Top Bottom