Uchaguzi 2020 Ridhiwan Kikwete apita bila kupingwa Ubunge Chalinze, labda ndiye " yule" ajaye 2025!

NECCM iko biased sana, Membe akijitoa jina litaachwa kwenye karatasi kwa masilahi ya jiwe, ila chalinze kajitoa mtu na jina limeondolewa chap tu.
 
yaani riziwani alivyo mjanja apo lazima kuna namna namna imefanyika kumlainisha huyo mpinzani,huyo mpinzani wake alikuwa ni wa chama gani?
 
Hawa wapumbavu wanaojitoa katikati ya kampeni ndio wanaotuchelewesha kufika kwenye safari yetu ya ukombozi .
Kuna mbinu zinafanyika. Nadhani ni makubaliano. Ridhiwani akipata mpinzani mzuri na uchaguzi uwe huru hapiti. Pia ni wakati wa wapenda maendeleo wote kupinga kwa nguvu zote hili swala la kupita bila kupingwa. Kama mgombea akijitoa kwa sababu zozote basi kuwe na utaratibu wa kuteua mwingine na ikishindikana basi iwe kura ya ndiyo au hapana. Zamani enzi za chama kimoja huu mtindo ulikuwa hauna madhara kwani kipindi hicho kulikuwa hakuna janja janja za wanasiasa kama sasa.
 
Kheri ya hawa wamethubutu wewe ambaye umejificha nyuma ya jina bandia ndiye mpumbavu kabisa, mwonga na dhaifu unayetuchelewesha kwenda
Umejuaje kama hayuko mstari wa mbele na kutumia jina bandia hapa ni moja ya mkakati tu wa kisiasa? Kwenye vita kuna mbinu nyingi na siasa ni vita. Unaweza kutumia jina bandia lakini ukawa na madhara makubwa kwa utawala kuliko hata aliye jukwaani. Labda wewe ni mgeni hapa na hujawahi kuona jinsi hizi hizi ID bandia zilivyowahi kuangusha wanasiasa wengi na kuanika mambo yaliyokuwa siri z utawala.
 
Ni jambo jema.

NEC imempitisha bila kupingwa Ridhiwani Kikwete kuwa mbunge wa jimbo la Chalinze baada ya mshindani wake kutoka chama pinzani kujitoa.

Source Swahili times

Maendeleo hayana vyama!
Habari njema kwa wanaCCM hii Hakika aliyejitoa anahitaji pongezi maana ametupatia kitu kwa wepesi sana
Sasa pesa za Kampeni tuelekeze katika utatuzi wa kero za wananchi.
 
Umejuaje kama hayuko mstari wa mbele na kutumia jina bandia hapa ni moja ya mkakati tu wa kisiasa? Kwenye vita kuna mbinu nyingi na siasa ni vita. Unaweza kutumia jina bandia lakini ukawa na madhara makubwa kwa utawala kuliko hata aliye jukwaani. Labda wewe ni mgeni hapa na hujawahi kuona jinsi hizi hizi ID bandia zilivyowahi kuangusha wanasiasa wengi na kuanika mambo yaliyokuwa siri z utawala.
Hizo ni mbinu za kike kama mwanaume jitokeze hadharani- kwani humu ndani hakuna watu wanaotumia id halisi mojwapo mimi- USITUPOTEZEE MDA
 
We nae huwa ni mpuuzi mzuri Sana hapo Lumumba!!! Uliyebakiza kutueleza anatarajiwa kuwa Rais 2025 ni Msiba tu.
 
Hizo ni mbinu za kike kama mwanaume jitokeze hadharani- kwani humu ndani hakuna watu wanaotumia id halisi mojwapo mimi- USITUPOTEZEE MDA
Nisiwapozee muda wewe ni nani? Unatumia wingi ili kujihami? Kuwa na watu wanaotumia ID halisi hakufanya hao hao watu wasiweze kutumia ID za bandia. Ona ulivyo idiot bado unaamini kwenye ''mbinu za kiume'' na ''mbinu za kike''. Watu kama wewe ndiyo hawa wanaopita majukwaani wakihimiza watu wazaane kwa wingi. Mbinu za kuji-comouflage zinatumiwa popote duniani iwe polisi, jeshini na kwenye maisha. Iweje idiot kama wewe aite ''mbinu ya kike''. Hoja yako peleka kwa wajinga wenzako.
 
POLE- ndiyo ameshajitoa hivyo= KAJINYONGE
 
Hawa wapumbavu wanaojitoa katikati ya kampeni ndio wanaotuchelewesha kufika kwenye safari yetu ya ukombozi .
Bado sana safari yenu ,na huenda ikawachua karne kufika,watanzania wa mwaka 40 sio watanzania wa miaka ya 2000.

Wanajua kabisa lissu ni garasa pamoja na chama chake ,so lazima wakimbie huko na kuunga juhudi za chama tawala CCM.

Utasubiri Sana
 
Kuna mbinu zinafanyika. Nadhani ni makubaliano. Ridhiwani akipata mpinzani mzuri na uchaguzi uwe huru hapiti. Pia ni wakati wa wapenda maendeleo wote kupinga kwa nguvu zote hili swala la kupita bila kupingwa. Kama mgombea akijitoa kwa sababu zozote basi kuwe na utaratibu wa kuteua mwingine na ikishindikana basi iwe kura ya ndiyo au hapana. Zamani enzi za chama kimoja huu mtindo ulikuwa hauna madhara kwani kipindi hicho kulikuwa hakuna janja janja za wanasiasa kama sasa.
Nenda kaanze kupinga sasa,wewe mtu kajitoa ulitaka NEC imfunge kamba? Nini maana demokrasia?
Na kwa taarifa yako Lazaro Nyarandu naye yuko mbioni kuukacha ugombea wa tiketi ya chadema,we subiri
 
Ni jambo jema.

NEC imempitisha bila kupingwa Ridhiwani Kikwete kuwa Mbunge wa jimbo la Chalinze baada ya mshindani wake kutoka chama pinzani kujitoa.

Source Swahili times

Maendeleo hayana vyama!

Ni mgombea gani aliyejitoa na ni wa chama gani? Je hilo jimbo lilikuwa na wagombea wawili tu?
 
Nenda kaanze kupinga sasa,wewe mtu kajitoa ulitaka NEC imfunge kamba? Nini maana demokrasia?
Na kwa taarifa yako Lazaro Nyarandu naye yuko mbioni kuukacha ugombea wa tiketi ya chadema,we subiri
Hee kweli kila mtu na akili zake. Hivi unafikiri hata wakijitoa wote ndiyo nchi itapata maendeleo ya haraka? Mimi watu wote wenye mawazo ya kukataa challenges za maisha na kuziona kama laana huwa nawaona ni wajinga. Kwa taarifa yako nchi kama Jamhuri ya Congo (Zaire), Malawi n.k. zimeongozwa kwa utaratibu tunaouna kwa Magufuli sasa hivi i.e. rais kupenda kuabudiwa na kuwa kama mungu mdogo ndiyo mjuzi wa wote na yeyote anayem-challenge ni msaliti, lakini mpaka walipoondoka waliacha nchi zao zikiwa hoi. Sisi tunalilia demokrasia kwa sababu tunaangalia mbele. Wewe ukishashibisha tumbo lako huna unachojali. Usiwe kama mnyama asiyejua kesho kwa mapana.
 
POLE- ndiyo ameshajitoa hivyo= KAJINYONGE
Nikajinyonge? Walinunua wapinzani karibu wote na wala sikupepesa jicho ndiyo nikajinyonge. Utajinyonga wewe unayeishi kwa kulamba vidonda vya viongozi kama nzi ili uishi. Mimi sina hard feeling na siasa hata siku moja. Ni jambo la ziada sana kwangu.
 
Ni jambo jema.

NEC imempitisha bila kupingwa Ridhiwani Kikwete kuwa Mbunge wa jimbo la Chalinze baada ya mshindani wake kutoka chama pinzani kujitoa.

Source Swahili times

Maendeleo hayana vyama!
Kajitoa au kajiuza? Chadema mtapata akili lini?
 
Back
Top Bottom