RIck Ross hadi sasa hajatoa town

DOOKY

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
370
50
Habari nilizozipata hadi sasa mwamamziki ambaye ataibeba Fiest kesho, Rick Ross bado hajatua mjini!

Haifahamiki atatua muda gani!
 
Kwani klm huwa inatua saa ngapi huko dar

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Anaingia saa 4 usiku.Nina complimentary mbili nataka nitoe zawadi kwa anayetaka kwenda kumwona huyu mzeya LIVE.Ukiweza 2 kunambia Rick Ross alizaliwa mwaka gani nakutwanga na Complemetary fasta.Niko serious sitanii km ww ni fani wake changamka fasta ulambe moja.
 
January 28 1976

Mkuu km utakua umepatia na mshindi wa pili hasipopatikana basi utalamba complementary zote mbili ili uje na mkeo au kama huna mke utakuja na demu wako na kama huna demu basi utakuja na mchizi yeyote.Breaking newz zinasema tayari mzeya ameshatua ndani ya Mwl.Nyerere international airport usiku huu.
 
Rick ross anaingia na klm around saa 5 usiku,, alitweet jana kuwa kwenye tweeter account kuwa ndo anaingia kwenye KLM miami florida tayari kwa safari ya kuja dar es salaam Tanzania, so nazan by saa 4 to saa 5 usiku atatua JKN dar es salaam...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom