Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,973
Finally, it has paid off!!!
Finally, it has paid off!!!
Mkuu Bodi ya Madini? Au STAMICO? Jamaa ni opportunist ile mbaya kila siku yupo mahali strategically. Ka nchi haka bwana ikikapatia wee unapeta tu!Naangalia taarifa ya habari startv, namuona Richard Kasesera akitambulishwa kama mwenyekiti wa Bodi ya madini.
Swali lililonijia kichwani mara moja hadi nikaamua kushare nanyi wadau wa JF ni hili; Je huyu kada ana wasifu(sifa) gani hadi kustahili kuwa mwenyekiti wa bodi hiyo?
Kwa kuzingatia changamoto nyingi na kubwa tulizonazo katika sekta ya madini, Je huyu kada anaweza kutoa mchango wowote katika kuiboresha?
Yeah! Jamaa ni kada mzuri sana wa magamba, system ilimsahau kwa muda, hatimaye kakumbukwa!Naangalia taarifa ya habari startv, namuona Richard Kasesera akitambulishwa kama mwenyekiti wa Bodi ya madini.
Swali lililonijia kichwani mara moja hadi nikaamua kushare nanyi wadau wa JF ni hili; Je huyu kada ana wasifu(sifa) gani hadi kustahili kuwa mwenyekiti wa bodi hiyo?
Kwa kuzingatia changamoto nyingi na kubwa tulizonazo katika sekta ya madini, Je huyu kada anaweza kutoa mchango wowote katika kuiboresha?
Nadhani alimaliza 1996! Alikuwa Mwenyekiti wa Chama cha Basketball hapa Nchini na alichofanikiwa kufanya ni kuua mchezo wa basketball hapa nchini ikiwa ni pamoja na kuulia mbali yale mashindano maarufu ya KILI RBA!amesomea marketing mlimani..yeye na madini wapi na wapi jamani..najuta kuzaliwa inji hiii
Kauza sura had imenunuliwa
hili si ndio lile lijamaa lililokuwa linazomewa kwenye midahalo ya katiba kwa kuwatetea magamba...wamemlipa!
Alikula samaki gani, asije akawa ni gogogo!kwenye birthday ya chama cha magamba jamaa alikula kyela na samaki fupa likamkaba akapelekwa bugando.kama bunsen burner
Naangalia taarifa ya habari startv, namuona Richard Kasesera akitambulishwa kama mwenyekiti wa Bodi ya madini.