Richard Kasesera Mwenyekiti Bodi ya Madini, Anazo sifa Stahiki??

Naangalia taarifa ya habari startv, namuona Richard Kasesera akitambulishwa kama mwenyekiti wa Bodi ya madini.

Swali lililonijia kichwani mara moja hadi nikaamua kushare nanyi wadau wa JF ni hili; Je huyu kada ana wasifu(sifa) gani hadi kustahili kuwa mwenyekiti wa bodi hiyo?

Kwa kuzingatia changamoto nyingi na kubwa tulizonazo katika sekta ya madini, Je huyu kada anaweza kutoa mchango wowote katika kuiboresha?
hii nchi bila kujipendekeza hakuna cheo.Halafu leo rais analalamika kua watu hawana uzalendo wakati inajulikana cheo kinapatikana kwa kujikomba komba.
Katiba mpya haiepukiki hata magamba wafanye nini!
 
Tatizo hilo la katiba wapinzani hawana mkakati wowote kulifanikisha
 
Naangalia taarifa ya habari startv, namuona Richard Kasesera akitambulishwa kama mwenyekiti wa Bodi ya madini.

Swali lililonijia kichwani mara moja hadi nikaamua kushare nanyi wadau wa JF ni hili; Je huyu kada ana wasifu(sifa) gani hadi kustahili kuwa mwenyekiti wa bodi hiyo?

Kwa kuzingatia changamoto nyingi na kubwa tulizonazo katika sekta ya madini, Je huyu kada anaweza kutoa mchango wowote katika kuiboresha?
Ni dada au kaka?
 
Tatizo hilo la katiba wapinzani hawana mkakati wowote kulifanikisha
Wapinzani ndio walifanikishe au wao wapige debe lifanikishwe? Wameshasema mara ngapi kuhusu hili bungeni? Mmewaziba mdomo kwa kupiga siasa marufuku mpaka 2020,sasa kuliongelea hilo ni burudani? Kuna kuzaa/kujifungua kwa mama zetu na kutoa uchafu. Jiweke kwenye kundi stahiki.
 
Back
Top Bottom