Richard Kasesera Mwenyekiti Bodi ya Madini, Anazo sifa Stahiki??

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Jul 1, 2008
10,564
7,970
Naangalia taarifa ya habari startv, namuona Richard Kasesera akitambulishwa kama mwenyekiti wa Bodi ya madini.

Swali lililonijia kichwani mara moja hadi nikaamua kushare nanyi wadau wa JF ni hili; Je huyu kada ana wasifu(sifa) gani hadi kustahili kuwa mwenyekiti wa bodi hiyo?

Kwa kuzingatia changamoto nyingi na kubwa tulizonazo katika sekta ya madini, Je huyu kada anaweza kutoa mchango wowote katika kuiboresha?
 
Mkuu Bodi ya Madini? Au STAMICO? Jamaa ni opportunist ile mbaya kila siku yupo mahali strategically. Ka nchi haka bwana ikikapatia wee unapeta tu!
 
Naangalia taarifa ya habari startv, namuona Richard Kasesera akitambulishwa kama mwenyekiti wa Bodi ya madini.

Swali lililonijia kichwani mara moja hadi nikaamua kushare nanyi wadau wa JF ni hili; Je huyu kada ana wasifu(sifa) gani hadi kustahili kuwa mwenyekiti wa bodi hiyo?

Kwa kuzingatia changamoto nyingi na kubwa tulizonazo katika sekta ya madini, Je huyu kada anaweza kutoa mchango wowote katika kuiboresha?
Yeah! Jamaa ni kada mzuri sana wa magamba, system ilimsahau kwa muda, hatimaye kakumbukwa!
 
amesomea marketing mlimani..yeye na madini wapi na wapi jamani..najuta kuzaliwa inji hiii
Nadhani alimaliza 1996! Alikuwa Mwenyekiti wa Chama cha Basketball hapa Nchini na alichofanikiwa kufanya ni kuua mchezo wa basketball hapa nchini ikiwa ni pamoja na kuulia mbali yale mashindano maarufu ya KILI RBA!
 
kwenye birthday ya chama cha magamba jamaa alikula kyela na samaki fupa likamkaba akapelekwa bugando.kama bunsen burner
 
Naangalia taarifa ya habari startv, namuona Richard Kasesera akitambulishwa kama mwenyekiti wa Bodi ya madini.

Swali lililonijia kichwani mara moja hadi nikaamua kushare nanyi wadau wa JF ni hili; Je huyu kada ana wasifu(sifa) gani hadi kustahili kuwa mwenyekiti wa bodi hiyo?

Kwa kuzingatia changamoto nyingi na kubwa tulizonazo katika sekta ya madini, Je huyu kada anaweza kutoa mchango wowote katika kuiboresha?

Huki stahajabu ya Musa unataona ya firauni....huyu all the way kutoka kwenye shughuli za Ukimwi mpaka madini?au mambo ya uswaiba?
Amepewa chance ya kuongea kama mwenyekiti wa hiyo bodi kapiga nje mbaya......hivi tunaipeleka wapi hii nchi?
Huyu jamaa anajua kujipanga alipiga deal za issue za ukimwi kupitia kampuni yake inayojulikana kwa jina la ABC alikuwa na connection ya TACAIDS coz wife wake alikuwa pale duh!TACAIDS Wamefulia karukia kwenye madini?
Wanabodi connect the dot....huyu jamaa wakati wa msiba wa mtoto wa mzee mwapachu yeye ndiye alikuwa msemaji wa familia nakumbua hiyo issue lililetwa hapa na akajakujitetea.Je hii ndiyo asante ya mwapachu kwake?
 
Aaaah MDau wa Afya? Nilimsikia TBC kipindi cha mgomo akiwakemea madaktari kwa nguvu zote!

Wakuu kuna concepts zinazoelezea njia wanazotumia viongozi wa Africa kubakia madarakani moja inaitwa "neo-patrimonialism" nyingine ni "clientilism" . Zinahusiana kwa kwaribu sana. Ukifatilia kwa makini utajua kwa nanini Kasesera kapewa nafasi hiyo.
 
Jamaa kajipendekeza na kuuza sura mpaka kapewa cheo!!!huyu na nape ni vijana wanaotutia aibu kwa sasa,hawaoni haja ya mabadiliko kwa kuwa kuna kamrija fulani wanakokafaidi ndani ya utawala wa ccm!!Jamaa kichwani hamna kitu alikua mwenyekiti wa BWALO la chakula pale minaki sec kila siku tulikua tunamzomea kwa pumba zake!!!
 
Ndiye aliyewafanyia utafiti magamba kisha akaja na ile proposal ya kufanya REBRANDING yaani PARTY REBRANDING kama yanavyofanya makampuni yanayokufa. Katika dossier hiyo ambayo chama hicho kinakiri kuwa kimekufa na kimepoteza kabisa mashiko kwa Watanzania, Jamaa huyu anapendekeza mambo mengi sana kufanyika, mengine kwa siri na mengine kwa wazi, kudhibiti ukuaji wa demokrasia hasa kwa kudhibiti vyama vya upinzani, hasa CHADEMA ambacho katika ripoti yake anakiri kuwa tishio kwa CCM.

Ukisoma SWOT analysis yake utajua nini namaanisha hapa. Baadhi ya vitu ambavyo vimeshauriwa kwenye dossier ambayo anasema aliifanyia utafiti, tayari vimeanza kutekelezwa mathalan kuwafukuza na kuwatisha wanafunzi wa vyuo vikuu nchini, hasa vya umma, wale ambao wanaoikosoa serikali na CCM. Need more...
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom