Rich tourists spots interests in Tanzania

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,945
3,237
Dear JF please let us discuss serious business which earn country lots of foreign currency, employment and reliable market for agriculture produce

Please mention Rich tourists destination spots to Rich People

How many Rich tourists have visited Tanzania so far since 2010 to 2015?

How much revenue Government have earned in terms of FOREX?
 
Wenye Hoja jibuni hapa please

We want to help our Nation Tanzania with strong argument
 
Strange enough hata hiyo miundombinu ya kuwa-accomodate rich tourists hatuna.

Hao poor tourists wanaingia bure kwenye hivyo vivutio?

Hao rich tourists hawatumii vitu vinavyotengenezwa na watanzania, vitu vyao wanatoka navyo huko kwao. Sisi tutaishia kupata ila hadi ya kutembelewa na rich tourists ila in our bank accounts we are empty.

Poor tourists wanatumia vans zetu, wanakula kwenye local restaurants, watanunua vinyago vyetu.

Hao rich watakuja na ndege au helcopter hadi mbugani.

Tumechemsha.
 
Uchochezi ni nini?

Elezea ili watu waelewe..... ili mtu akichangia ajue huu ni uchochezi au sio uchochezi
 
Wakubwa wasikie Wazungu wanavyosema?

Tanzania VAT hike sends safari industry into pandamoneum

Mtu anaspend 5000 US $ mpaka 20000 US $...Na Familia yake Tanzania, unasema ni masikini....Unamtaka Ronaldo au Messi?

Kwa Mwaka 2014 na 2015, matajiri wangapi wamekuja Tanzania?

Mzungu tajiri na masikini, wanalipa same Park entry fee

VAT changes force Tanzanian operators to charge extra for safaris already paid

Tourism ‘to lose Sh2tr’ as VAT bites

Wafaransa wamegoma kuja Tanzania na destination haiaminiki

Foreign body wades into tourism tax row
 
MPadmire hii nchi inaongozwa na mazuzu, wenye akili na profession zao wako mitaani utawakuta ndiyo madreva tax,fuso, wauza nyanya n.k.

Mijitu inafanya maamuzi ya kipuuzi mpaka unajiuliza hawa ni binadamu wa wapi?
 
itakuwa ni ule mwendelezo wa kuwakomesha watu wa kaskazini katika utawala huu, maana ki ukweli hizo hela zenu za utalii huku kwetu Nanyumbu hata hazifiki....mabilionea wa mahoteli Arusha / Moshi kazi mnayo
 
itakuwa ni ule mwendelezo wa kuwakomesha watu wa kaskazini katika utawala huu, maana ki ukweli hizo hela zenu za utalii huku kwetu Nanyumbu hata hazifiki....mabilionea wa mahoteli Arusha / Moshi kazi mnayo

Uwezo huo hawana, nature gives opportunity intelligent people....

TATIZO ni akili za Ki Mwendo kasi tu.

Hata ukiwa na Mke,,,,, ukitaka mambo unaenda kwa step, huendi kwa Mwendo kasi
 
ASIA continent tourist is totally lost with VAT

China, Japan and Korea

I recently lost 12 pax people KOREA cancelled as I added 18% VAT
 
TTB wamecancel safari yao kwenda kuhudhuria maonyesho makubwa zaidi ya Utalii Duniani..World Travel Market

TTB hawajatoa sababu, Sasa hao watalii matajiri mtawapata vipi?

Kama Tanzania ina vivutio vizuri namna gani, bila kujitangaza ni kazi bure

Serikali inataka Kodi ili ihudumie wananchi....ni vizuri...ila Approach ni mbaya...Serikali inapoteza fedha nyingi na ajira nyingi zinapotea

VAT ni kizungumkuti....serikali ingeanza utekelezaji wa VAT 2017.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom