Rich mziray

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
16,621
27,567
Anaemkumbuka huyu jamaa jamani alitesa enzi zile anatua bongo na migari mikali mikaliii ,alikuwa na body zurii ,sasa hivi sijui anafanya nini bongo,ila pesa makaratasi nampa heko pia mkewe kwa kua na mumewe mpaka leo maana waanawake wengine wangekimbia baada ya pesa kukata

Asingekuwa na uroho wa pesa sasa hivi wangekuwa zao kiwanja bado
Screenshot_2018-06-09-21-57-53.jpg
 
Anaemkumbuka huyu jamaa jamani alitesa enzi zile anatua bongo na migari mikali mikaliii ,alikuwa na body zurii ,sasa hivi sijui anafanya nini bongo,ila pesa makaratasi nampa heko pia mkewe kwa kua na mumewe mpaka leo maana waanawake wengine wangekimbia baada ya pesa kukata

Asingekuwa na uroho wa pesa sasa hivi wangekuwa zao kiwanja badoView attachment 798936
Mama Sabrina leo umeniangusha
 
Wanakuja madada wa mjini watupe info zake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom