Rich Mavoko kusaini Wasafi Classic Baby

Rich Mavoko kusaini Wasafi Classic Baby

Sasa na Msanii kama Richie Mavoko kuwa chini ya WCB naona kama ni kuua kipaji, ataanza kuwekewa ratiba wakati alitakiwa awe kwenye label ambayo inamsikiliza zaidi ya anavyoisikiliza.

Kibongo bongo dogo yuko vizuri, ila ngoja tuone itakuwaje. Ninahisi pia atakuwa hawajafika bei ndo maana kaamua kurelease hiyo ngoma yake nje ya label. Ikihit atasikilizia kwanza ila ikibuma atajiunga na jamaa very fast.
Nionavyo mimi ni kama jamaa wameamua kumzima dogo kabla wajuzi wengine hawajamnyakua na kuja kutoa ushindana au kuwapoteza kwenye game.
Nahisi kumsikitikia zaidi kuliko kupongeza.
 
hata ijumaa walkua wote kwenye 'friday night live' akathibitisha mwenyewe
 
Back
Top Bottom