BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,784
Mavoko anajua ila alikosa usimamizi mzuri tu. Atatusua chini ya WCB
Manager wa Vanesa Mdee ni naniKusainiwa kwenye label haina tofauti na kusimamiwa kazi zako za muziki...
Usimamizi unaanzia kwenye ratiba ya kawaida ya msanii, utoe nyimbo ipi? umshirikishe nani? na itoke wakati upi? watasambaza vipi nyumbani hadi kimataifa? Shows upate vipi na kulipwa mtonyo upi wenye maslahi kwako? Na vingine vingi sema tu inatofautiana na jinsi wewe msanii na management mnamakubaliano yapi? na u serious wenu kwenye kuyatimiza...
Hii muhimu sana, kwamfano Diamond yupo zake bongo sasahivi huku anaendelea kupika ngoma fulani fulani, Mmoja wa manager wake karibia wiki mbili hivii hayupo Tanzania, kaenda Ulaya kwaajili ya kupiga promo tour ya diamond itayoanza march hadi april kwa zaidi ya nchi 7 zilizotangazwa mpaka sasa, huku wengine wakisukuma gurudumu bongo kusimamia mambo mengine ikiwemo ofisi za WCB n.k haya yote huwezi kufanya pekeyako msanii, lazima uwe na usimamizi
Kingine chukulia mfano wa Harmonize, hakuwa na wimbo uliochezwa hata redioni na mkwanja ilikuwa shida sana kusema arekodi audio na video... Ila usimamizi wa WCB umemfanyia yote hayo huku video ikiwa so kitoto hadi MTVBASE dogo anatisha, na kibindoni ana video mpya chini ya godfather, ana dancers wake binafsi, ana mpigapicha wake, n.k
Kikubwa kipaji na uongozi madhubuti unaoijua game pana vipaji vingi vimepotea kwa sababu havikuendelezwa sio penye muziki tu hata burdan nyingine.Pia hao wanaojifanya ma don wa game ya bongo ni watu wa kulaumiwa sana wameharibu vipaji vingi ushahidi wa fidq anakwambia wanapanga nani atoke so vijana wetu wana hitaji support kubwa na wana safari ndefu sana.Saida karoli alikuwa anaimba penye sherehe za harusi au penye kipaimara mpaka FM alipoiona dhahabu na kuing'arisha.Kwa Tanzania yetu kupata management nzuri ni bahati ya mtende
Manager wa Vanesa Mdee ni nani
Kikubwa kipaji na uongozi madhubuti unaoijua game pana vipaji vingi vimepotea kwa sababu havikuendelezwa sio penye muziki tu hata burdan nyingine.Pia hao wanaojifanya ma don wa game ya bongo ni watu wa kulaumiwa sana wameharibu vipaji vingi ushahidi wa fidq anakwambia wanapanga nani atoke so vijana wetu wana hitaji support kubwa na wana safari ndefu sana.Saida karoli alikuwa anaimba penye sherehe za harusi au penye kipaimara mpaka FM alipoiona dhahabu na kuing'arisha.
Tuna hiki chombo kinaitwa BASATA hili ni jipu , kinasikika tu kwenye kufungia wasanii wanapoharibu au wanapoalikwa na miss Tanzania tofauti na hapo hiki chombo ni mfu kilichokosa ubunifu dira na maono ....hiki ndio kilipaswa kuwa kimbilio la wasanii wengi hasa undergroundsKikubwa kipaji na uongozi madhubuti unaoijua game pana vipaji vingi vimepotea kwa sababu havikuendelezwa sio penye muziki tu hata burdan nyingine.Pia hao wanaojifanya ma don wa game ya bongo ni watu wa kulaumiwa sana wameharibu vipaji vingi ushahidi wa fidq anakwambia wanapanga nani atoke so vijana wetu wana hitaji support kubwa na wana safari ndefu sana.Saida karoli alikuwa anaimba penye sherehe za harusi au penye kipaimara mpaka FM alipoiona dhahabu na kuing'arisha.
Jux.......Manager wa Vanesa Mdee ni nani
Wimbo kwa kiswahili sanifu na ukiwa mmoja nyimbo Zikiwa zaidi ya mmojaNi NYIMBO au WIMBO?
Nipo Kampala jana nilikuwa Nairobi nyimbo za Ngwair RIP na Mb Doggy bado zinabamba huku lakini wenyewe maskini ukiacha Ngwair hawafaidiki na wamezima pengine moja kwa moja INAUMA
Aah yule ndio imeshatoka hiyo kumbuka matamko enzi za boss wake wa zamaniKatika hali ya kawaida Ngwair RIP ungekuwa unauza mpaka leo, lakini sasa ndo hivyo Bongo yetu.
Nilisikia Mzee wa goli la mkono akisema kuhusu wasanii kulipwa kila nyimbo zao zinapopigwa redioni au kuoneshwa kwenye TV, nasubiri kuona utekelezaji wake.
Mavoko anaujua muziki lakini haifahamu vizuri game ya muziki! Pale Wasafi wanaifahamu game ya muziki-- kwahiyo ukichanganya na uwezo wa Mavoko wa kuufahamu muziki hapo Mavoko atakuwa ameshamaliza kazi... ni kama namuona hivi anavyo fly high!Afanye hivyo tena fasta Mavoko knows the game
Hakuna kitu kama hicho duniani,labda iwe ya kwako mwenyewe.Sasa na Msanii kama Richie Mavoko kuwa chini ya WCB naona kama ni kuua kipaji, ataanza kuwekewa ratiba wakati alitakiwa awe kwenye label ambayo inamsikiliza zaidi ya anavyoisikiliza.
Kibongo bongo dogo yuko vizuri, ila ngoja tuone itakuwaje. Ninahisi pia atakuwa hawajafika bei ndo maana kaamua kurelease hiyo ngoma yake nje ya label. Ikihit atasikilizia kwanza ila ikibuma atajiunga na jamaa very fast.