Mkono wa Tembo
Member
- Mar 10, 2011
- 39
- 1
mim nimekipata last year design kama vile cpendi kuajiriwa na ilibaki kidogo tu ni drop school aisee...Mkuu nakubali hiki ni kitabu ambacho mjasiriamali yeyote serious anatakiwa kukisoma. Huwezi kubaki ulivyokuwa mara baada ya kukisoma
Nenda scholastica bookshop pale mlimani city,kipo Tsh 30,000/- pia chukua cash flow quadrant ni kizuri sana if ua interested in businessMi ninacho lakini kipo katika hali ya pamphlet na hakina kurasa zote.Ningependa kupata kitabu chote kabisa.Ni bei gani na kina kurasa ngapi?Mi nimeanzia ukarasa wa 3 mpaka 28.Nitakuwa nimekosa vitu vingi sana?Naomba mwenye kujua aniambie.Pia kama kuna kingine fabolous kama hicho naomba jina na bei.Natanguliza shukrani wakuu.
Nenda scholastica bookshop pale mlimani city,kipo Tsh 30,000/- pia chukua cash flow quadrant ni kizuri sana if ua interested in business
the business of 21st Century cha Kiyosaki pia ni kitabu kizuri kukisoma, nimesoma vitabu vya huyu bwana na I highly recomend them kwa mtu ambae bado! hutatoka kapa...ila waweza pia kuandika barua ya kuacha kazi baada tu ya kumaliza kuvisoma!
The best book I have ever read in my life, it changed my whole life. If you want to be a businessman and haven't read that book, I am sorry for you. Lucky for me I read the book in high school.
Wanajiamii sasa tunaelekea kuzuri sana. Kiyosaki ana vitabu ingi vizuri na kitabu chake cha kwanza ni hiki rich dad Poor dad,vingine ni....1. Cash flow Quadrant, 2. Retire young retire rich, 3. why dou we want you to be rich, 4. the business school. ni vitabu ambavyo hutachoka kusoma and for any serious reader siku tatu zinatosha kumaliza copy moja. One thing i assure you, after you have finished reading these books utaona hapa duniani unachezea maisha! unapoteza muda wako hapo unapopatia rizki ya wanao!. Pia kuna jamaa anaitwa Burke Hedge, ni mkali sana, huyu ni gwiji la network marketing business.... soma Parable of the pipeline na the Biz dot com. Ni hatari kubwa! WaTZ wengi wanadhani network marketing ni ujinga na wengine ambao ni wajinga zaidi wanafiiri ni uchawi.....Kuhusu network marketing, kiyosaki ameongea sana katka kitabu chake cha business school.....Twende kazi!
Good books indeed!
But nasikia jamaa kafirisika, je ni kweli?
naomba nondo kama hizi kama mtu anakua na soft copy atuwekee,huku Jf napenda kitu kimoja kikubwa ni ushirikiano na kusaidiana tena kama vile tunafahamiana in reality maana hivi vitabu ni ghali sana wengine hatumudu kununua,kuna mtu aliniwekea vitabu fulani humu ikiwemo kile cha research by Kothari kimekua msaada sana kwa mdogo wangu ambaye naye amewapa copy wengine,shukrani sana kwa member
Nenda scholastica bookshop pale mlimani city,kipo Tsh 30,000/- pia chukua cash flow quadrant ni kizuri sana if ua interested in business