kipoke KIPOKE
Member
- Apr 20, 2015
- 54
- 9
Waziri MPANGO Hapa kazi tu naona inakuja kivingine Hebu tupia macho kwenye riba zinazotolewa na mabenki yetu haya kama Postal Bank ,Twiga bank corp na wengine, nimejaribu kufuatilia riba inayotozwa ni kati ya 40%mpaka 50% ukikopa tshs 15,000,000/= kwa miaka mitano unalipa 29,000,000/= hapa kazi tu ndio tafsiri yake?hebu pitia uangalie majipu mengi sana wafanyakazi wa serikali tutateseka sana kama hakutakua na mikopo nafuu na nikuombe usisubiri mpaka majaliwa ndio aje kutumbua kama mwenzako yeye alikua hajui kama kuna mita hazifanyi kazi bandarini?