Rhumba by kings music

Rhumba by kings music

Nimeisikiliza zaidi ya mara 5 nyimbo ni ya kawaida ila kutokana na utimu uliopo itapewa promo kubwa na haya mambo ndo yanafanya wasanii wengine wakali wasionekane.
Most people don’t realize how much strength it takes to pull yourself out of a dark place mentally. It is necessary to retreat and heal. Being alone has power that very few can handle . Don’t stay in that shell for too long . Your new life is waiting.
 
Komenti nimeandika kwa kiswahili ila wewe umenijibu kwa kiingereza! Sijaelewa hata kimoja ulichoniambia nitafsirie boss
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Utadhani alikulipia ada...!!!!
Analeta porojo hapa,,,siku hizi hiyo lugha hata aliyeishia darasa la Nne anaweza kwenda kusoma haimaanishi kuwa ndo umesomaana au ni mwerevu sana.

Naona kasumba hii twanayosana watu wengi kudhani kujua kiingereza basi ni uwerevu na usomi
 
Nimeisikiliza zaidi ya mara 5 nyimbo ni ya kawaida ila kutokana na utimu uliopo itapewa promo kubwa na haya mambo ndo yanafanya wasanii wengine wakali wasionekane.
Huo Muda wa kusikiliza Mara tano nyimbo mbovu unapata wapi??
 
Poa kibamia nitaenda kuutazama ..lakini umelipia matangazo ???
 
Out of Topic,
kwanini tunapenda kutumia nyimbo (wingi) badala ya wimbo (umoja).

Fulani katoa 'nyimbo' moja kali sana.

Mazoea yamejenga tabia.
 
Uko sahihi ni Wimbo

King Music wametoa Nyimbo wa kawai aah samahan(mazoea mabaya kweli).King Music wametoa Wimbo wa kawaida.
Out of Topic,
kwanini tunapenda kutumia nyimbo (wingi) badala ya wimbo (umoja).

Fulani katoa 'nyimbo' moja kali sana.

Mazoea yamejenga tabia.
 
Back
Top Bottom